Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Kila mtu alikuwa anajua watafanya hivyo lakini kwa sababu Lissu kawabana kisheria na wameshidwa kutoa sababu imeshafanya Tume ionekane ni ya CCM.

CCM kwa kutokuwa makini watawafanya Tume waonekane kama wajinga. Lissu anajua sheria za uchaguzi kuliko watu wa tume na wenyewe.
 
Wanazidi kuvunja sheria.Tungekuwa na Tume Huru, Magu asingekuwa mgombea leo.

All in all, wamepata funzo na aibu kubwa wahusika wote.

Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?

Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha. Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu. Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia. Nyie ni mazuzu tu.

Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.
 
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, Magu asingekuwa mgombea leo.

All in all,wamepata funzo na aibu kubwa wahusika wote.

Cha ajabu hawafafanui zaidi ya kusema tu wametupilia mbali.
Tumeccm haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba bali inafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Lisu atakata rufaa. NEC mtajibeba mwaka huu.
Hivi nikuulize tu kifupi rafiki
Akijaza fomu zingine usiku huu akaweka na kila kitu zikagongwa mihuri yote ya mahakama na tume kwa tarehe za nyuma na kwenda kubandika kwenye notisi bodi. Yeye Lisu akabaki na picha ya zamani ataitumia kama ushahidi?
Na unadhani itamsaidia?

Aanze kampeni aache kupoteza muda kwenda kwenye kesi la sivyo atanaswa mtegoni kupitia mbinu zake. Mwisho ziwe kesi za kimahakama halafu anze kupangwa kila baada ya siku mbili inasikilizwa au atawaleta Robert & Amstredam nao wanawekewa zengwe pia
 
Jiwe anajua fika.. bila nguvu ya Tume ya uchaguzi.. hawezi shinda..
yaani. Hata baada ya Kushinda pingamizi ila amepata Fundisho..

*miaka mitano anafanya kampeni yeye tu.
*Trillion 1.5 sijui kapeleka wapi
*hataki kuajiri
*hataki kupandisha mishahara ya alio wakuta wameajiriwa na JK
* Mbinafsi
* anapenda sana kusifiwa hata kukubali kuchukua utukufu wa Mungu
Kura yangu nitampa Magufuli
Rais wa wanyonge
Wanyonge = malofa /wapumbavu/wasiojitambua
 
Hahahah Tundu Lissu mgombea kupitia chama cha CCM?

Hahahaha Afisa wa NEC ameshikwa kigugimizi kwenye kuongea, hiii ikimanisha anafanya kwa presha ya hali yajuu sanaa haha

CCM na NEC wote wamepagawa[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mtu mwenye sheria yake kesho atasemae[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna wa kuhoji maamuzi ya NEC kwenye hili watakavyo amua wao ndio itakavyo kuwa, lakini matokeo ya mapingamizi haya yamedhihirisha yale tuliyotegemea. Jiulize kwa nini Mkapa alilia tume huru kwenye kitabu chake, kwa sababu alikua anayajua yanayo endelea wakati wa uchaguzi.
 
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana😂😂😂
 
Kinyago uchonge mwenyewe then kikutishe? Mabeberu wenye mdoli wanazodolewa mchana kweupe sembuse hicho kikaragosi chao?
Wengine eti Mh. Raisi uso kwa uso na....! Bulldozer ukikutana nalo uso kwa uso sijui kama watapata hata picha ya kuambatanisha kwenye simulizi ama ushahidi.
Hivi viumbe kama wewe bado vinaishi duniani?
 
Back
Top Bottom