Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Maana sielewi anachosimamia.Comedian au choko ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana sielewi anachosimamia.Comedian au choko ?
Genta Lissu is 1000 steps ahead of TumeNi 'Mpumbavu' tu pekee ndiyo angeamini kuwa Tume iliyowekwa na kulipwa na 'Mgombea' leo hii ije 'Kukiri' makosa yake. Tutumieni 'Ubongo' kidogo.
Ampigie simu beberu wake amsterdam amfarji.Kamanda kiduku chalii.
Katumia Sheria yao wenyewe waliyoitunga kuwakomoa wapinzani lakini cha ajabu wamechachawaNEC na ccm ni sawa na kidole na kucha....
Tundu Lissu ana akili nyingi sn...... Atawaua kwa preeshaaaa
Kama tume ni ya CCM mnashiriki uchaguzi wa nini sasa ? Si msusie Mana si mnajua wanapendelewa CCM? Tulieni dawa iwangie !.Kila mtu alikuwa anajua watafanya hivyo lakini kwasababu Lissu kawabana kisheria na wameshidwa kutoa sababu imeshafanya Tume ionekane ni ya CCM. CCM kwa kutokuwa makini watawafanya Tume waonekane kama wajinga. Lissu anajua sheria za uchaguzi kuliko watu wa tume na wenyewe.
Wale watu wana elimu kubwa kuliko ya Tundu Lisu huwezi walinganisha na kichaa huyo anayeona marofa wengi kisha anawadanganyaTumeccm imetupilia mbali kienyeji pasipo kuzingatia Sheria, NECCCM haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria katiba ya Nchi bali inafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM.
Haya sasa yako wapi?Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, Magu asingekuwa mgombea leo.
Kwa mujibu wa Lissu,Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria na Magufuli akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).
Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki tofauti na Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani badala ya kuhakikiwa na NEC?
All in all,wamepata funzo na aibu kubwa wahusika wote.
Cha ajabu hawafafanui zaidi ya kusema tu wametupilia mbali.
Achakujitoa ufahamu wewe mwenyewe unajua maana ya pasipot size, lazima masikio yote mawili yaonekane . Toeni upuuzi wenu kwanza mpaka sasa tume imeshaingia kwenye mtego wa Lissu. Hakuna tume huru.Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?
Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha.
Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu.
Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia
Nyie ni mazuzu tu.
Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.
Tumeccm na wakurugenziccm ni shetani Hatari waliosalia Tanzania tu huna watu wa hivyo popote DunianiGenta Lissu is 1000 steps ahead of Tume
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi
Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.
Mwaka huu mtamu sana😂😂😂
Mnashiriki uchaguzi wa nini sasa kama mnjua Time ni CCM?!Tumeccm haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba bali inafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Angekuwa kichaa tume isingempitisha. Unamsikiliza lakini humuelewi, jaribu tena. Ha ha ha Tundu anamuogopa nani?Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha...
Na akili zako za Mataga huwezi mwelewa Lissu. Kuna watu wanavuliwa nguo huko jumuiya ya Kimataifa. Kwa Lumumba mnaoangalia mlipo hamwezi kuelewaAmpigie simu beberu wake amsterdam amfarji.
Alijua kila kitu, ila TAL alikuwa anajilinda. Maana ilisemekana kuwa atawekewa Mapingamizi.Ni 'Mpumbavu' tu pekee ndiyo angeamini kuwa Tume iliyowekwa na kulipwa na 'Mgombea' leo hii ije 'Kukiri' makosa yake. Tutumieni 'Akili' kidogo.
Genta Lissu is 1000 steps ahead of Tume
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi
Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.
Mwaka huu mtamu sana😂😂😂