Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Hivi nikuulize tu kifupi rafiki
Akijaza fomu zingine usiku huu akaweka na kila kitu zikagongwa mihuri yote ya mahakama na tume kwa tarehe za nyuma na kwenda kubandika kwenye notisi bodi. Yeye Lisu akabaki na picha ya zamani ataitumia kama ushahidi?
Na unadhani itamsaidia?

Aanze kampeni aache kupoteza muda kwenda kwenye kesi la sivyo atanaswa mtegoni kupitia mbinu zake.
Mwisho ziwe kesi za kimahakama halafu anze kupangwa kila baada ya siku mbili inasikilizwa au atawaleta Robert & Amstredam nao wanawekewa zengwe pia
Mimi nlisema mapema Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao yameshatwaliwa na ccm
Lakini kwa vile han akili basi akaona bora atafute kili kupitia Magu
 
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo si shida maana hata Marekani upo msuguano kuwa Urusi ilimsaidia kufoji kura trump.
Tume haiingiliwi na muhimili mwingine hata kama dunia isema vyovyote. Swala hapa ni upungufu wa Katiba.

Ikumbukwe 2015 Rais alipoapishwa CDM haikumtambua kwa madai aliiba kura. Haikubadili kitu, safari hii mapingamizi mengi yatatupwa natume, itakuwa ina balance, baadae rais ni jpm uchaguzi ukiwa wa utulivu.
 
Watu waongo si walidai muwekewa pingamizi anafika ofisi za tume kujibu hoja?
 
Nyie ndo mlitetemeka wakati anawaona maboya mna msikiliza kisha mnashangilia.

Yaani Tundu lisu amekutana na everledy paka power premier yaani atakuwa kama panya keenye shimo😁😁😁😁
Hahaha mbona umepanic mkuu, relax ukumbuke Lissu hana dola wala hatembei ni mitutu kama waasi. Anatumia tu kile alichosomea kutetemesha.
 
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, Magu asingekuwa mgombea leo.

Kwa mujibu wa Lissu,Tume ndio alitoa maelezo yanayopingana na sheria na Magufuli akafuata maelekezo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu aliyakaa na fomu zake zikahakikiwa na NEC.

Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki tofauti na Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani badala ya kuhakikiwa na NEC?

All in all,wamepata funzo na aibu kubwa wahusika wote.

Cha ajabu hawafafanui zaidi ya kusema tu wametupilia mbali.
Kweli kabisa, wamepata funzo kubwa Sana. Lisu aliweka pingamizi akitaka vipengele vya Sheria na kanuni na akasema wazi kuwa Tume imetunga kanuni zinazopingana na Sheria.
Sasa kwenye majibu, Mkurugenzi hajataja Sheria waliyotumia kufikia maamuzi yao zaidi ya kutaja kanuni ya 39inayopingana na sheria ya Uchaguzi.
Lakini pia Mgombea wa CCM atakuwa ameona athari ya kutopenda kufuata sheria na kujaribu kufikiri kuwa yuko juu ya sheria. Kwa hakika ashukuru Mungu hii so Time huru vinginevyo leo angekiona kilichomtoa kanga manyoa.
Asante Lisu kuishi kwa rehema za Mungu ili uwafundishe hawa wakaidi kuheshimu Sheria.
 
Tunasubiri anguko la Tundu Lissu hapo October na kufutika katika siasa za Tanzania.
 
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, Magu asingekuwa mgombea leo.

Kwa mujibu wa Lissu,Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria na Magufuli akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).

Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki tofauti na Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani badala ya kuhakikiwa na NEC?

All in all,wamepata funzo na aibu kubwa wahusika wote.

Cha ajabu hawafafanui zaidi ya kusema tu wametupilia mbali.
Haibadili kitu...........rais anaongeza 5 yake
 
Mk
Katibu wa tume ya uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao.

Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada ya kupitia sababu za pingamizi pamoja na utetezi uliotolewa imejiridhisha, Professa Ibrahim Haruna Lipumba amerejesha fomu zake kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya tume ya taifa ya uchaguzi hivyo tume ya taifa ya uchaguzi imejiridhisha pingamizi halina msingi na imelitupilia mbali. Professa Ibrahim Lipumba anaendelea kuwa mgombea halali wa kiti cha Rais kupitia chama cha CUF.

Pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM

  1. Mleta pingamizi anadai kwamba, mgombea Urais kwa tiketi ya CCM hakuambatanisha picha kwenye fomu ya uteuzi.
  2. Hakurudisha fomu ya uteuzi kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na sheria
Tume baada ya kupitia sababu za pingamizi zote mbili kwa pamoja na utetezi uliotolewa imejiridhisha kuwa, Dr. John Magufuli, Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha mapinduzi amerejesha fomu zake ambazo zimeambatanishwa pamoja na picha kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo ya tume ya Taifa ya uchaguzi, hivyo tume ya Taifa ya uchaguzi imejiridhisha kwamba pingamizi hizo hazina msingi wa kisheria na imezitupilia mbali.

View attachment 1549104
View attachment 1549105

View attachment 1549098
Mkurugenzi kachanganyikiwa na Lissu hadi akasema Eti Tundu Antipas Mughwai Lissu mgombea wa uraisi kupitia CCM 😂😂😂😂😂😂
 
Wenye 'Akili' kubwa tumeshamuelewa vyema tu Tundu Lissu na hatujashangaa kumuona Mkurugenzi wa NEC akifafanua huku 'anajambajamba' tu.
NECCCM wanajikanyaga kanyaga hawana jawabu wamelitupilia mbali pingamizi kienyeji pasipo sababu za msingi kwa kifupi wamefanya Ubabe kwa kutumia maelekezo toka kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM.
 
HOJA ZA LISSU NI KIFUNGU KWA KIFUNGU HATA MANGUMBARU WA SHERIA TUMEELEWA ,MBONA MAJIBU YA JUU JUU YA HAWA WATU TOENI UFAFANUZI KISHERIA AISEEE SASA IMEELEWEKA KWA NINI THEY WANTED HIM DEAD HUYU MTU NI MWIBA,KUDADADEKI LISSU THE GREATEST.
 
Mimi nlisema mapema Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao yameshatwaliwa na ccm
Lakini kwa vile han akili basi akaona bora atafute kili kupitia Magu
Iko shida kisaikolojia
 
Lissu bhana.... Yaani alitegemea tume ingemuengua Magufuli? Hakumbuki 2010 chama chake kilijaribu kwa JK ila ilishindikana?

Nadhani alitaka tu kuchangamsha kampeni...aliamua kupima kima cha maji kwa kutumia fimbo kabla hajatumbukiza miguu.
 
Lissu bhana.... Yaani alitegemea tume ingemuengua Magufuli? Hakumbuki 2010 chama chake kilijaribu kwa JK ila ilishindikana?

Nadhani alitaka tu kuchangamsha kampeni...aliamua kupima kina cha maji kwa kutumia fimbo kabla hajatumbukiza miguu.
 
Hilo si shida maana hata Marekani upo msuguano kuwa Urusi ilimsaidia kufoji kura trump. Tume haiingiliwi na muhimili mwingine hata kama dunia isema vyovyote. Swala hapa ni upungufu wa Katiba...
Si shida??? Waulize watu walioko serikalini wakwambie huko 😂😂😂
 
Mk

Mkurugenzi kachanganyikiwa na Lissu hadi akasema Eti Tundu Antipas Mughwai Lissu mgombea wa uraisi kupitia CCM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna sehemu imekatwa na kuungwa. Ndicho nilibaini nirudia na ku slow maana nihisi hivyo pia
 
Back
Top Bottom