Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Lissu bhana.... Yaani alitegemea tume ingemuengua Magufuli? Hakumbuki 2010 chama chake kilijaribu kwa JK ila ilishindikana?

Nadhani alitaka tu kuchangamsha kampeni...aliamua kupima kima cha maji kwa kutumia fimbo kabla hajatumbukiza miguu.
Hujaelewa nia ya Lissu kwenye haya mapingamizi ilikuwa nini!!

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana😂😂😂
 
Hahaha mbona umepanic mkuu, relax ukumbuke Lissu hana dola wala hatembei ni mitutu kama waasi. Anatumia tu kile alichosomea kutetemesha.
Ebu jiulize wale waliokuwa wanashangilia pale anaongea wana hali gani sasa hivi?
Na utakuta wengine wana masters pale
 
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu imeisha hiyo
 
Wasalaam!

Tume ya Taifa ya uchaguzi imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyo wekwa na Lisu dhidi ya wagombea wa CCM na CUF

Hii inatokana na mapingamizi kutokuwa na hadhi na hoja ,mashiko na kuwa ya uongo

Wasalaam
CCM lumumba, vichwa maji kabisaa, tope kichwan.

Nyinyi mwamwijia Lissu kwa Silaha za moto.

Yeye anawaijia kwa Sheria aloisomea na Mungu .

CCM mbumbumbu, hapo Lissu katumia visheria vidogo mlivyovitunga nyinyi wenyewe.

Sasa mnafurahia nn???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Lissu bhana.... Yaani alitegemea tume ingemuengua Magufuli? Hakumbuki 2010 chama chake kilijaribu kwa JK ila ilishindikana?

Nadhani alitaka tu kuchangamsha kampeni...aliamua kupima kima cha maji kwa kutumia fimbo kabla hajatumbukiza miguu.
Alitaka tu kuwashake,maana anajua fika kuwa hawawezi kwenda kinyume na boss wao aliewateuwa.
 
Hujaelewa nia ya Lissu kwenye haya mapingamizi ilikuwa nini!!

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi...
Tusubiri matokeo tu sasa😂😂😂
 
Kadata hakuna kitu kibaya kama kuwa jaji alafu ulazimishwe kufanya kazi kinyume na Taaluma yako ukitumia fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM. ha ha ha ha
Huyu sio Jaji. Naona hadi kina Jaji Mihayo, Mbaruk, Kaijage na Longway wakaona wamsukumizie Mkurugenzi ndo atoe press conference. Hoja za Lissu za moto ndugu 😂😂😂😀😀
 
Nikiangalia trend ya mambo anayofanya Lissu tangia siku amerudi nchini, nashindwa kumtofautisha na mwanamke anaetafuta visababu vya kuachwa na mume wake.Lakini mme wake yuko very smart.
Mwambieni Lissu twende kwenye debe october 28. Aache kuwa kama mwanamke aliyesaliti ndoa yake anatafuta sababu kujustfy usaliti wake.
Ndio misukule yake inavyopenda mkuu
 
NECCCM wanajikanyaga kanyaga hawana jawabu wamelitupilia mbali pingamizi kienyeji pasipo sababu za msingi kwa kifupi wamefanya Ubabe kwa kutumia maelekezo toka kwa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM.
Kama NEC ni CCM mnashirik uchaguzi wa Nini nyie nyumbu! Ok kumbe mlitegemea hiyo NEC ya CCM imuengue JPM?
 
Ebu jiulize wale waliokuwa wanashangilia pale anaongea wana hali gani sasa hivi?
Na utakuta wengine wana masters pale
Lisu yupo vizuri kwani kafanikiwa kuondosha ushetani wa awali NECCCM ingawa bado kuna ushetani mwingine tarehe 28 October ambao watanzania watafunga na kuomba uondoke wote humo Tumeccm wapate kutenda haki
 
Lissu bhana.... Yaani alitegemea tume ingemuengua Magufuli? Hakumbuki 2010 chama chake kilijaribu kwa JK ila ilishindikana?

Nadhani alitaka tu kuchangamsha kampeni...aliamua kupima kima cha maji kwa kutumia fimbo kabla hajatumbukiza miguu.
Sasa hivi wanakuambia eti Time ni CCM kama sio nyumbu ni nini Hawa!?
 
NEC na ccm ni sawa na kidole na kucha....

Tundu Lissu ana akili nyingi sn...... Atawaua kwa preeshaaaa
Kwahiyo oktoba atajitangaza?

Lisu bado mtoto mdogo sana yule.

Anafikiri anabishana na kina fatuma karume
 
Back
Top Bottom