Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Nyumbu ni CCM uchaguzi tunashiriki ili kupata ridhaa kuja kutengeneza Tume huru ya uchaguzi hakuna aliyetegemea mtukufu magufuli aondolewe bali watu walijua mapema kuwa Tumeccm itamlinda itambeba lakini itapata fundisho kuwa Sheria zao mbovu walizowatungia wapinzani ipo siku zitawatafuna wenyewe.
Yani upate ridhaa kwa tume ya CCM mn akili ninyi , kama mmeingia kweny uchaguzi hoja ya kuwa time ni CCM ya kitoto sana!. Yani mnajiaminisha ninyi mna haki zaidi !. Shame!
 
Nyumbu ni CCM uchaguzi tunashiriki ili kupata ridhaa kuja kutengeneza Tume huru ya uchaguzi hakuna aliyetegemea mtukufu magufuli aondolewe bali watu walijua mapema kuwa Tumeccm itamlinda itambeba lakini itapata fundisho kuwa Sheria zao mbovu walizowatungia wapinzani ipo siku zitawatafuna wenyewe.
Kama imemlinda kwenye hili unafikir kwenye matokeo haitamlinda?

Tulieni mnyolewe
 
We nae umekomaa na kakoment kako haka!

Ccm ndio imeshashinda kwenye majimbo 22 nyie bakini tu kuhombana na hao ACT wenzenu
Yani wao kwa wao cdm na Act wanapambana alafu wanatak kupambana na CCM Wana akili hawa!.
 
Hii tume ya kuteuliwa na moja Kati ya wagombea, haiwezi kutenda Haki daima, lazima wataegemea kwa upande wa mteuzi wao, nec ni kinyago alicho kichonga magufuli mwenyewe
Safi sana angalau wewe umeandika ukweli halisi uliopo.
 
Hii tume ya kuteuliwa na moja Kati ya wagombea, haiwezi kutenda Haki daima, lazima wataegemea kwa upande wa mteuzi wao, nec ni kinyago alicho kichonga magufuli mwenyewe
Safi sana angalau wewe umeandika ukweli halisi uliopo.
 
huyu jamaa asije tu kufanya kampeni moshi, tumemkosa na mawe juzi saaahv hatufanyi makosa atakua kilema na mahututi juu
 
Lumumba mbumbumbu hahahahaha

Mamaee, huyo ndio T.Lissu....

Akili kubwaaaaaaaaaaaaaaa

Yeye mmoja, ni sawa na wanaccm wote kwa kuungana.



Mnafurahia ushindi wa kutekenywa wakat alowatekenya anajua mngefanya ivo???
Oktoba kile kiduku chake tutakinyoa bila maji
 
Hii ni precedence mbaya ya waliopewa mamlaka kuamua kufumbia macho uvunjifu wa sheria na taratibu hasa vinazofanywa walio ngazi ya juu.

Hili litapelekea ngazi za ubunge, udiwani waliopo CCM kuigiza yanayofanywa na waliopo juu kwa kufanya vitu kinyume na sheria.
Ya kwamba pakawa na slogan ya "hakuna maswali"
 
Angewasaidia kisheria maana yeye anajiona anajua sana w3nzake wote mambumbumbu
Alishatoa maagizo walio enguliwa wafanye nini. Na yeye leo alikuwa anahakikisha kama kuna mapingamizi zidi yake anayajibu na kuwakilisha ya kwakwe. Tatizo mnapenda kumlisha maneno, wapi kasema wengine wote mambumbumbu.
 
Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?

Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha.
Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu.
Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia
Nyie ni mazuzu tu.

Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.

Hujamsikiliza utakuwa ulikuwa unasinzia kuna sheria inyoweka masharti kuwa maelekezo yasipingane na sheria au kanuni za uchaguzi. Ndiyo maana jana walishindwa kukataa kuhakiki fomu zake japo walitowa maelekezo kuwa fomu zihakikiwe na wasimamizi wa majimbo hayo maelekezo yalikuwa yanapingana na sheria ndiyo maana ilibidi wafanye kazi ya kuhakiki form zake zote pamoja na orodha ya wadhamini. Tume wanaufahamu ukweli ila wamegundua kuwa wao ndiyo waliowapotosha wagombea na kwamba wagombea waliamua wenyewe.
 
Tume ya uchaguzi imejaa vilaza wa taifa. Haijatoa fact hata moja kujibu hoja za Tundu Lissu. Tume ni wapuuzi wa kutupiliwa mbali!
Gsam

Wala usihofu kuna kitu dunia inaoneshwa juu ya Tume. Lissu ana akili saaaana

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana😂😂😂
 
Back
Top Bottom