Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

CCM sasa inatizamwa na Ulimwengu wote vioja vituko unyanyasaji uonevu uovu wao wote unaangaliwa Duniani kote, wale waliokuwa wakihubiri Tanzania ni kisiwa cha Amani wamejua Tanzania amani hakuna bali kuna watu wavumilivu wasitahamilivu wa Amani japo CCM imekuwa ikivuruga Amani kila kukicha kwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi na sasa wanawafanyia kila visa wapinzani kisha kuja na neno kapita bila kupingwa, huu upumbavu wa neno kapita bila kupingwa huku wagombea wa upinzani wakifanyiwa figisu figisu ni aina mbaya ya uvunjifu wa Amani na kadri unavyoongezeka inaelekea wananchi kuchoka uvumilivu utawashinda na itaanza vurugu na Nchi kutumbukia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe.
 
Tume ya uchaguzi imejaa vilaza wa taifa. Haijatoa fact hata moja kujibu hoja za Tundu Lissu. Tume ni wapuuzi wa kutupiliwa mbali!
Mwambie Lisu aishitaki tume kwa kale ka beberu kake ka amsterdam,

Na umwambie atulie oktoba tunamnyoa kiduku kile.
 
26 Agosti 2020
Dodoma, Tanzania

DAKIKA 30 ZA HOJA YA PINGAMIZI

Hoja za Tundu Lissu alipozungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma na kuchambua kwa undani hoja nzito za sababu ya pingamizi kwa wagombea wawili wa vyama vya siasa ngazi ya Urais ambao ni John Magufuli wa CCM na Prof. Haruna Lipumba wa CUF



Huyu mwamba speech zake burudani sana
 
Kumbuka the world is watching. Sasaivi watu hawafanyi vitu kwa pupa wanafanya ili kukusanya ushahidi n CCM na Tume yenu mnaingia kichwa kichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia gani? Amsterdam?
 
Moto mpuuzi wewe ! Lissu alisema wagombea ubunge na udiwani wa chama chake wakienguliwa awaagiza mifugo yake muingie barabarani mbona hajaingia?
Nani kakatwa , kama magufuli karudishwa unadhani nani ataondolewa ?
 
Time ya uchaguzi / na wajumbe wake,wote wameteuliwa na Raisi ambeye ndiye mgombea,a fomu wemjazia wao kwa kusea,tunategemea hakimu atakuwa nani? Na makovu yatakuwaje?
 
IMG_20200826_234946_319.jpg
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI:

PROF. IBRAHIM HARUNA LIPUMBA NI MGOMBEA HALALI WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA WANANCHI (CUF)

Tume imejiridhisha kuwa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amerejesha fomu zake kwa mujibu wa Sheria, kanuni na maelelezo ya tume ya taifa ya uchaguzi.

Hivyo tume imejiridhisha kwamba pingamizi halina msingi wa kisheria na umetupilia mbali.

Kwa maana hiyo Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ni mgombea halali wa urais kupitia chama Cha wananchi (CUF)

#NitampaKuraYanguProfLipumba.
 
Naona unaotaaa, Dunia hii??? Ujamaa ulijifia kitamboooo na haitotokea hata siku moja ujamaa kurejea, haitokaaa kutokea.

Namaanisha ivi, Dunia inaongozwa ,na wanaoiongoza ndio wapo dhidi yenu nyinyi wauaji , watekaji, wanyanyasaji..
Corona tu imewashinda sasa wewe unasema nini?

Huko marekani kwenyewe huyo Trump ana mawazo, sasa ahangaike na sisi ili iweje?
Bado sisi ni taifa huru
 
Time ya uchaguzi / na wajumbe wake,wote wameteuliwa na Raisi ambeye ndiye mgombea,a fomu wemjazia wao kwa kusea,tunategemea hakimu atakuwa nani? Na makovu yatakuwaje?
Kuna yule mama mvaa kilemba ana miwani ana roho mbaya sana kwa kweli Tumeccm imejaa watu Hatari kwa usitawi wa demokrasia ya Tanzania
 
Naona unaotaaa, Dunia hii??? Ujamaa ulijifia kitamboooo na haitotokea hata siku moja ujamaa kurejea, haitokaaa kutokea.

Namaanisha ivi, Dunia inaongozwa ,na wanaoiongoza ndio wapo dhidi yenu nyinyi wauaji , watekaji, wanyanyasaji .

Na mtaandoka tuuu... Marekani na Ulaya haijawahi kushindwa Chini ya Jua[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh. Kumbe unaitegemea Marekani na Ulaya?

Kamuulize Besige wa Uganda mpaka imebidi ajistaafie siasa maana kaona anazeeka na matumaini kama haya haya yako
 
Corona tu imewashinda sasa wewe unasema nini?
Huko marekani kwenyewe huyo Trump ana mawazo, sasa ahangaike na sisi ili iweje?
Bado sisi ni taifa huru
Hahahaha ndo mtajua Hamjui..

Bichwa wenu ni Tatizo sugu kwa Dunia.

Atoke Trump..aje Biden tena huyu ndo kabisaaaaaaa Sera zake ni zakujitanua, mbona mtaelewa tu

Kwa ufupi anguko la CCM liko mchakatoni.
 
Back
Top Bottom