Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Ni 'Mpumbavu' tu pekee ndiyo angeamini kuwa Tume iliyowekwa na kulipwa na 'Mgombea' leo hii ije 'Kukiri' makosa yake. Tutumieni 'Ubongo' kidogo.
Genta Lissu is 1000 steps ahead of Tume

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana😂😂😂
 
Pigo jengine kwa Wana Sacco's,kila wanachofanya wanashindwa, Chadema ni losers [emoji23][emoji1787]
 
HAKUNA MASWALI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] VAR IMEFANYA YAKE
 
Kila mtu alikuwa anajua watafanya hivyo lakini kwasababu Lissu kawabana kisheria na wameshidwa kutoa sababu imeshafanya Tume ionekane ni ya CCM. CCM kwa kutokuwa makini watawafanya Tume waonekane kama wajinga. Lissu anajua sheria za uchaguzi kuliko watu wa tume na wenyewe.
Kama tume ni ya CCM mnashiriki uchaguzi wa nini sasa ? Si msusie Mana si mnajua wanapendelewa CCM? Tulieni dawa iwangie !.
 
Tumeccm imetupilia mbali kienyeji pasipo kuzingatia Sheria, NECCCM haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria katiba ya Nchi bali inafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM.
Wale watu wana elimu kubwa kuliko ya Tundu Lisu huwezi walinganisha na kichaa huyo anayeona marofa wengi kisha anawadanganya
Tundu lisu hajawahi shinda kesi kwa uhalali zaidi ya kuwahonga mahakimu
Na ndo maana kipindi cha kikwete aliwadhalau sana mahakimu.
 
Huo ni uhuni, Tume imefanya uhuni tena hadharani.
Kweli Tanzania hatuna Tume huru ya uchaguzi.

Sheria inataka ALIYEWEKA PINGAMIZI na ALIYEWEKEWA PINGAMIZI wawepo mbele ya Tume na wote wasikilizwe kabla ya Tume kufanya maamuzi.

Sasa mbona tume imevunja sheria iliyoitunga yenyewe!

Tanzania tuna Tume ila hatuna Tume huru ya uchaguzi.
tapatalk_1598122589539.jpg
 
Wanazidi kutushangaza!Tungekuwa na Tume Huru, Magu asingekuwa mgombea leo.

Kwa mujibu wa Lissu,Tume ndio iitoa maelezo yanayopingana na sheria na Magufuli akafuata maelekezo hayo yanayopingana na sheria, maelezo ambayo Lissu alikataa kuyafuata na fomu zake akataka zikahakikiwa na NEC kama sheria inavyoelekeza(alisoma kifungu husika kwa wanahabari).

Swali:Kama Lissu alikuwa wrong,mbona NEC hao hao walikubali kukagua form zake na kuzihakiki tofauti na Magufuli na Lipumba ambao form zao zilihakikiwa huko mikoani badala ya kuhakikiwa na NEC?

All in all,wamepata funzo na aibu kubwa wahusika wote.

Cha ajabu hawafafanui zaidi ya kusema tu wametupilia mbali.
Haya sasa yako wapi?
 
Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?

Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha.
Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu.
Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia
Nyie ni mazuzu tu.

Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.
Achakujitoa ufahamu wewe mwenyewe unajua maana ya pasipot size, lazima masikio yote mawili yaonekane . Toeni upuuzi wenu kwanza mpaka sasa tume imeshaingia kwenye mtego wa Lissu. Hakuna tume huru.
 
Genta Lissu is 1000 steps ahead of Tume

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana😂😂😂
Tumeccm na wakurugenziccm ni shetani Hatari waliosalia Tanzania tu huna watu wa hivyo popote Duniani
 
Tumeccm haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria na katiba bali inafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Mnashiriki uchaguzi wa nini sasa kama mnjua Time ni CCM?!
 
Wasalaam!

Tume ya Taifa ya uchaguzi imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyo wekwa na Lisu dhidi ya wagombea wa CCM na CUF.

Hii inatokana na mapingamizi kutokuwa na hadhi na hoja ,mashiko na kuwa ya uongo

Wasalaam
 
Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha...
Angekuwa kichaa tume isingempitisha. Unamsikiliza lakini humuelewi, jaribu tena. Ha ha ha Tundu anamuogopa nani?
 
Ampigie simu beberu wake amsterdam amfarji.
Na akili zako za Mataga huwezi mwelewa Lissu. Kuna watu wanavuliwa nguo huko jumuiya ya Kimataifa. Kwa Lumumba mnaoangalia mlipo hamwezi kuelewa

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana😂😂😂
 
Genta Lissu is 1000 steps ahead of Tume

Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamizi

Lissu ana akili sana. Alikuwa anajua fika kuwa Tume watafanya haya, dhumuni lake ni kuwaweka uchi, je walivyombeba magufuli na Kibaraka wake, watafanya ivyo pia kwa wagombea wa Chadema na Act walioenguliwa kwa figisu za wasimamizi na mizengwe ya CCM.

Mwaka huu mtamu sana😂😂😂

Wenye 'Akili' kubwa tumeshamuelewa vyema tu Tundu Lissu na hatujashangaa kumuona Mkurugenzi wa NEC akifafanua huku 'anajambajamba' tu.
 
Back
Top Bottom