Nyie ndo mlitetemeka wakati anawaona maboya mna msikiliza kisha mnashangilia.Lissu katetemesha viumbe
Comedian au choko ?Ha ha ha, we jamaa utakuwa Comedian.
Ndio mjifunze na mjue hizi sheria mnazopitisha kuna Siku zitawageukia.Haya mmeshinda na Lisu atapewa medali ya Nobel ya ushujaa
Nyumbu ni CCM hata mbugani porini nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi na wajinga kama wewe eti pingamizi la kawaida unaita kiki? Kwani waliotunga Sheria ya pingamizi si hao hao CCM? Sasa chadema kuitumia Sheria ya CCM kuna ubaya gani?Kiki za manyumbuuuuu.tafuteni nyingine hii imebuma.
Duh.. Hilo jengo dadeki ndio yatakapokuwa yanatoka matokeo kwamba Lisu kachinjwa vibaya
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamiziJiwe anajua fika.. bila nguvu ya Tume ya uchaguzi.. hawezi shinda..
yaani. Hata baada ya Kushinda pingamizi ila amepata Fundisho..
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamiziKamanda kiduku chalii.
Kwa kifupi ni kuwa Tume wamejiweka sehemu ngumu zaidi. Sasa dunia inaangalia watasemaje juu ya wagonbea wa ACT na Chadema walioenguliwa na kutolewa na wasimamiziTuliwaambia lisu anafurahisha tu genge lake mkabaki mnakata viuno humu
Nyie si ndio mlikuwa mnabwabwaja atakatwa, ?! Naona mmeanza kulicheza Singeli lake . na bado #NiYeyE2020.Kamanda kiduku chalii.
Si mlotegemea tumeccm hiyo hiyo itatengua uteuzi wa jpm !! Haha mnachekesha , subirini mnyolewe!Tumeccm imetupilia mbali kienyeji pasipo kuzingatia Sheria, NECCCM haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria katiba ya Nchi bali inafanya kazi kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM.
Watafute Kiki nyingine sasa !;Nyumbu hawaMagufuli kavuka kizingiti kingine hiki cha pingamizi,ahsante Mungu kwa utukufu wako.
Lazima CCM mtage mwaka huu πππNikiangalia trend ya mambo anayofanya Lissu tangia siku amerudi nchini, nashindwa kumtofautisha na mwanamke anaetafuta visababu vya kuachwa na mume wake.Lakini mme wake yuko very smart.
Mwambieni Lissu twende kwenye debe october 28. Aache kuwa kama mwanamke aliyesaliti ndoa yake anatafuta sababu kujustfy usaliti wake.
Chadema wanetumia Sheria za CCM cha ajabu hao hao CCM wamehamaki kwa kweli Tundu lisu amejua kuwaamusha CCM tokea usingiziniNdio mjifunze na mjue hizi sheria mnazopitisha kuna Siku zitawageukia.
Kwenye majimbo 22 mmeshafutwa!Athubutu aone moto .
Kwani wewe ulitegemea NEC watwaweza kumkata Jiwe? Lissu kafuata Sheria na utaratibu wa tume,na hii ni kumbukumbuku kwa baadae.Yako wapi