Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

Mimi nlisema mapema Lisu angekuwa na akili angetumia huo muda kuwasaidia wagombea wake ambao majimbo yao yameshatwaliwa na ccm
Lakini kwa vile han akili basi akaona bora atafute kili kupitia Magu
Nikuulize angewasaidiaje?
 
Ata wewe hautakuwa salama, endelea kushangilia uovu
Usalama gani mkuu? Mimi natembea popote tanzania na sina shida iwe usiku au mchana, nachohofia ni ujambazi tu, sasa niogope nini?
Mtu mhalifu ndo huogopa anapoona polisi.
Uhuru mnao uomba na CHAEDEMA na ACT ni kusema uongo, kusingizia watu makosa, kutukana viongozi hicho tu ndo mnataka
Sasa huo sio uhuru bali ni kukosa adabu.
 
Kama NEC ni CCM mnashirik uchaguzi wa Nini nyie nyumbu! Ok kumbe mlitegemea hiyo NEC ya CCM imuengue JPM?
Nyumbu ni CCM uchaguzi tunashiriki ili kupata ridhaa kuja kutengeneza Tume huru ya uchaguzi hakuna aliyetegemea mtukufu magufuli aondolewe bali watu walijua mapema kuwa Tumeccm itamlinda itambeba lakini itapata fundisho kuwa Sheria zao mbovu walizowatungia wapinzani ipo siku zitawatafuna wenyewe.
 
hivi unadhani lissu Hakujua Kama mapingamizi yake yatatupiliwa mbali? Intension yake ni Kubwa zaidi mnavofikiria... Hapo sababu zinakusanywa at the end of game ndio mataona impact yake
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] Mataga wanafurahi leo pasi kujua kesho wataangua kilio kisicho na kifani.
 
Lisu yupo vizuri kwani kafanikiwa kuondosha ushetani wa awali NECCCM ingawa bado kuna ushetani mwingine tarehe 28 October ambao watanzania watafunga na kuomba uondoke wote humo Tumeccm wapate kutenda haki
Ushetani gani kaondoa mkuu?
 
Ebu jiulize wale waliokuwa wanashangilia pale anaongea wana hali gani sasa hivi?
Na utakuta wengine wana masters pale
Hahahaha CCM mbumbumbuuu kabisaaa yaaan ktk hili. sisi wanachadema ndio tumefaidika nalo.

Dunia nzima imeona kua Tume sio huru, mnakata wagombea wetu. Wenu wanaachwa??

Na Bado tutakaposhinda tu hamtatutangaza, maana tume sio huru,inapendelea waziwazi, haifati sheria.


Sasa km mwenye nyumba hufati sheria zako, watoto watakutiii????


Mwaka huu mtaisoma namba kwelikweli

#SasaBasi
 
We nae umekomaa na kakoment kako haka!

Ccm ndio imeshashinda kwenye majimbo 22 nyie bakini tu kuhombana na hao ACT wenzenu
 
Lisu yupo vizuri kwani kafanikiwa kuondosha ushetani wa awali NECCCM ingawa bado kuna ushetani mwingine tarehe 28 October ambao watanzania watafunga na kuomba uondoke wote humo Tumeccm wapate kutenda haki
Numekuuliza mnashiriki ucuaguzi wa nini kama NEC ni CCM? Mlitegemea jpm ataenguliwa , lissu anawapoteza maboya ! Aache kutafuta Kiki kwa Jpm!, Tutamnyoa kiduku chake oktoba!
 
Badala ya ulete vifungu hapa wewe inaleta gazeti?
 
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] Mataga wanafurahi leo pasi kujua kesho wataangua kilio kisicho na kifani.

Impact gani wakati ushindi hauhojiwi mahakamani
Na atakuwa ameshindwa,
Yeye akusanye tu kisha awapelekee hao bwana zake
Huenda watampa kazi za kufanya huko.
 
Achakujitoa ufahamu wewe mwenyewe unajua maana ya pasipot size, lazima masikio yote mawili yaonekane . Toeni upuuzi wenu kwanza mpaka sasa tume imeshaingia kwenye mtego wa Lissu. Hakuna tume huru.
Jitoeni kwenye uchaguzi sasa,
 
Body language ya Mkurugenzi inajieleza kuhusu usahihi wa kutupilia mbali hayo mapingamizi hadi amekataa maswali kuwa muda mtu unabananishwa kwenye kona hadi unatamani kikombe hicho kikuepuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…