Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Yani upate ridhaa kwa tume ya CCM mn akili ninyi , kama mmeingia kweny uchaguzi hoja ya kuwa time ni CCM ya kitoto sana!. Yani mnajiaminisha ninyi mna haki zaidi !. Shame!Nyumbu ni CCM uchaguzi tunashiriki ili kupata ridhaa kuja kutengeneza Tume huru ya uchaguzi hakuna aliyetegemea mtukufu magufuli aondolewe bali watu walijua mapema kuwa Tumeccm itamlinda itambeba lakini itapata fundisho kuwa Sheria zao mbovu walizowatungia wapinzani ipo siku zitawatafuna wenyewe.
Angewasaidia kisheria maana yeye anajiona anajua sana w3nzake wote mambumbumbuNikuulize angewasaidiaje?
Usiishi kwa kukariri.Impact gani wakati ushindi hauhojiwi mahakamani
Na atakuwa ameshindwa,
Yeye akusanye tu kisha awapelekee hao bwana zake
Huenda watampa kazi za kufanya huko.
Wewe inakusaidia nn?Haikusaidii kitu.
Kama imemlinda kwenye hili unafikir kwenye matokeo haitamlinda?Nyumbu ni CCM uchaguzi tunashiriki ili kupata ridhaa kuja kutengeneza Tume huru ya uchaguzi hakuna aliyetegemea mtukufu magufuli aondolewe bali watu walijua mapema kuwa Tumeccm itamlinda itambeba lakini itapata fundisho kuwa Sheria zao mbovu walizowatungia wapinzani ipo siku zitawatafuna wenyewe.
Kumbuka the world is watching. Sasaivi watu hawafanyi vitu kwa pupa wanafanya ili kukusanya ushahidi n CCM na Tume yenu mnaingia kichwa kichwa 😂😂😂😂😂Haisaidii kitu.
Yani wao kwa wao cdm na Act wanapambana alafu wanatak kupambana na CCM Wana akili hawa!.We nae umekomaa na kakoment kako haka!
Ccm ndio imeshashinda kwenye majimbo 22 nyie bakini tu kuhombana na hao ACT wenzenu
Safi sana angalau wewe umeandika ukweli halisi uliopo.Hii tume ya kuteuliwa na moja Kati ya wagombea, haiwezi kutenda Haki daima, lazima wataegemea kwa upande wa mteuzi wao, nec ni kinyago alicho kichonga magufuli mwenyewe
Safi sana angalau wewe umeandika ukweli halisi uliopo.Hii tume ya kuteuliwa na moja Kati ya wagombea, haiwezi kutenda Haki daima, lazima wataegemea kwa upande wa mteuzi wao, nec ni kinyago alicho kichonga magufuli mwenyewe
HovyoLissu katetemesha viumbe
Huenda ni mbinu mojawapo ya kisiasa sio?....Alitaka tu kuwashake,maana anajua fika kuwa hawawezi kwenda kinyume na boss wao aliewateuwa.
Oktoba kile kiduku chake tutakinyoa bila majiLumumba mbumbumbu hahahahaha
Mamaee, huyo ndio T.Lissu....
Akili kubwaaaaaaaaaaaaaaa
Yeye mmoja, ni sawa na wanaccm wote kwa kuungana.
Mnafurahia ushindi wa kutekenywa wakat alowatekenya anajua mngefanya ivo???
Ya kwamba pakawa na slogan ya "hakuna maswali"Hii ni precedence mbaya ya waliopewa mamlaka kuamua kufumbia macho uvunjifu wa sheria na taratibu hasa vinazofanywa walio ngazi ya juu.
Hili litapelekea ngazi za ubunge, udiwani waliopo CCM kuigiza yanayofanywa na waliopo juu kwa kufanya vitu kinyume na sheria.
Alishatoa maagizo walio enguliwa wafanye nini. Na yeye leo alikuwa anahakikisha kama kuna mapingamizi zidi yake anayajibu na kuwakilisha ya kwakwe. Tatizo mnapenda kumlisha maneno, wapi kasema wengine wote mambumbumbu.Angewasaidia kisheria maana yeye anajiona anajua sana w3nzake wote mambumbumbu
Usiishi kwa kukariri.
Hatuwezi kutumia akili za kichaa kuongoza nchi, huyo huyo kasema tume inaweza kuwapa mamlaka wasimamizi, bado tena anasema sio harali,
Pili kuhusu picha
Naomba unipe tafasiri ya
pasport size?
full size na?
half size?
Medium size?
Big size
Je maana yake ni lazima uangalie mbele au ni kipimo cha ukubwa wa picha?
Kuhusu kuangalia mbele ni masharti ya taasisi au hitaji husika na sio kiwango cha ukubwa wa picha.
Na ndo maana tunasema tundu ni kichaa ila bado mnamshangilia tu.
Alisema magufuli katoa rushwa ya laki moja bado mkashangilia
Nyie ni mazuzu tu.
Ukitaka kujua tundu anamuogopa magufuri, toka jana usiku anatafuta makosa ya magufuli tu siku nzima na nadhani hajalala.
GsamTume ya uchaguzi imejaa vilaza wa taifa. Haijatoa fact hata moja kujibu hoja za Tundu Lissu. Tume ni wapuuzi wa kutupiliwa mbali!