Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

ni kweli hawa wachaga wabaguzi sana niliwahi kuwa na mahusiano na dada wakichanga hadi kufikia hatua ya kutaka kuoa ila mama yake alikataa kata kata mtoto wake asiolewe na mkurya. mahusiano yetu yalidumu kwa muda wa miaka mitatu. niliamua na mm kwenda musoma kutafuta mkurya mwenzangu mpaka sasa maisha yanaenda vzr na tuna watoto yule binti wa kichaga mpaka sasa hajaolewa... anatamani awe mchepuko wangu.
 
Mkurya!?!
Kwa jinsi mnavyojua kupiga Hata ningekuwa Mimi ni huyo mama nisingekubali[emoji1787](kidding)
 
Mkuu

Una kichaa aisee...hata hujui kutukana kwa Kingereza...horrible English right there..

Una hasira kinoma,ndio maana hao wanawake wako wa Kichagga wamekukataa...

Sasa umekua emotional sana kila mtu unatukana....the funny thing unatukana kabila zima as if anybody knows who the fvck you are...

Relax mzee,oa wasichana wa kwenu,they deserve love and respect...

Ulivyo mkichaa umekimbilia makabila ya wanaokuona takataka and this what you get...blame your self hating nigga..

You hate yourself,you hate your people,you hate your women,you hate your tribe...its unfortunate aisee!
Trust me,, sijawahi vutiwa na wanawake wa kabila lenu hata kidogo kutokana na sababu hizi:-
1. Hawana shape (tako ziro, miguu fito)
2. Hawapo romantic hata kidogo.
3. Viuno vigumu,,,dada zako wana kiuno kigumu Kama cha kwako.... kitandani ni magogo ya maana tu.
4. Most of them ni walevi wa pombe kali na Gold diggers tabia inayopelekea umalaya wao wa kiwango cha SGR.
5. Hupenda kumtawala mwanaume....Sasa wewe tu kaka yao umeshindwa ligi yangu unadhani hao dada zako Malaya ndo wataweza kunitawala mnyama mkali Kama mimi?? Zaidi sana watapigwa kipigo cha mbwa koko waishie kuniroga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli hawa wachaga wabaguzi sana niliwahi kuwa na mahusiano na dada wakichanga hadi kufikia hatua ya kutaka kuoa ila mama yake alikataa kata kata mtoto wake asiolewe na mkurya. mahusiano yetu yalidumu kwa muda wa miaka mitatu. niliamua na mm kwenda musoma kutafuta mkurya mwenzangu mpaka sasa maisha yanaenda vzr na tuna watoto yule binti wa kichaga mpaka sasa hajaolewa... anatamani awe mchepuko wangu.
Cc: Wyatt Mathewson njoo usome hapa kima wewe maana tukiongea wengine tunaonekana tuna chuki na hilo kabila utopolo lenu

Thats good,walao umerudi nyumbani umewaenzi wanawake wa kwenu....

Usidandie makabila ya wengine,toa upendeleo kwenu kwanza,ukikosa kabisa labda ndio unaweza chukua pengine....

Heri wamekubagua imetokea faida kwa a woman from your own people!
 
Cc: Wyatt Mathewson njoo usome hapa kima wewe maana tukiongea wengine tunaonekana tuna chuki na hilo kabila utopolo lenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma vizuri tu

Shida ni heartbreaks,mnaachwa inawauma mno mnachukia the whole kabila...

Kuachwa ni kawaida,dont panic..

Tatizo mnawapenda sana sababu mlisikia sifa za kabila lao as if ni za kweli..hata kama ni za kweli of which sio,wewe ni lazima utoe nafasi kwa wasichana wa kwenu kwanza...

Sipati picha kichwani,inakuaje mtu unashobokea wengine in such a way akikuacha unapaniki namna hii as if kwenu hakuna wasichana kabisa tena mwenye sifa zote uzitakazo?I really wonder....

Mnajichukia asili zenu mpaka mnaenda kujikombeleza na hao wachagga na nyie muwe Wachagga 2.0?

Hao wasichana wamegundua hamuwapendi wao kama wanadamu ,mmewavamia sababu tu ya jina la wanakotoka basi..asingekua Mchagga usingemsemesha....wakaona nyie ni wapumbavu hamna maana

Yaani wewe ni baguzi kama huyo mchagga unaemuita baguzi.....Umemtongoza sababu ya kabila na wala sio yeye kama yeye,akagundua akaona akubwage,then wewe unalia kakutosa sababu ya ukabila kumbe mkabila ni wewe uliejipeleka sababu ya kabila lake na wala sio utu wake at the first place..!

You people akili zenu mbovu kabisa...na hao wanawake waliowatupa wana akili sana,maana nyie ni majinga
 
Pole sana Mama, mi ningekuwa yeye ningeshukuru sana maana siwezijua nimeepushwa na nini hasa hadi nikataliwe na wewe. Si unajua tena maisha yetu haya yasivyotabirika hasa hasa kwa siku za mbeleni huko Mama?
My dear Kuna watu uelewa wao uko chini Sana, mwingine anakwambia sipendi unavo comments ur too much as if kaninunulia bundle, but majority of them njaa Kali hawana mbele Wala nyuma, so JF ni stress relieve, and honestly marafiki wengi wa mtandaoni wameshindikana kimaisha Wana mistress na tabia zote mbaya
 
Kiukweli kwa asilimia kubwa Wachaga wana umimi sana. Na si watu wa kuwaamini hata kidogo.
Niliwahi kuwa na rafiki Mchaga, yan tulipanga kufanya biashara fulani na nikachangia mtaji. Alichokuja kukifanya mhhhhh....
Kwa kweli Mungu anaweza akawa anamuepusha na jambo kubwa ambalo litamliza kuliko hili la sasa.
Mkuu ni ww ninayekufahamu siku nyingi au?
 
Trust me,, sijawahi vutiwa na wanawake wa kabila lenu hata kidogo kutokana na sababu hizi:-
1. Hawana shape (tako ziro, miguu fito)
2. Hawapo romantic hata kidogo.
3. Viuno vigumu,,,dada zako wana kiuno kigumu Kama cha kwako.... kitandani ni magogo ya maana tu.
4. Most of them ni walevi wa pombe kali na Gold diggers tabia inayopelekea umalaya wao wa kiwango cha SGR.
5. Hupenda kumtawala mwanaume....Sasa wewe tu kaka yao umeshindwa ligi yangu unadhani hao dada zako Malaya ndo wataweza kunitawala mnyama mkali Kama mimi?? Zaidi sana watapigwa kipigo cha mbwa koko waishie kuniroga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekutana na wanawake of your own caliber..

Huwezi kua mtu C ukutane na mwanamke A...

Hao wote ni size yako wewe kwa jinsi ulivyo...

Makabila yote yana wanawake wazuri sana na wabaya sana.....

Upo devastated na kuachwa na wanawake bora maana wewe ni mtu C.....wasichana wa grade A huwezi wapata maana wewe ni C,hapo hakuna ukabila ni class issue...

Hata ukienda kwenye kabila lenu bado wasichana wa grade A hupati,na wao utawaita wakabila?

Infact ni class issue hapa....

Unaumia roho with these people for nothing,oa kwenu,oa level yako,acha malalamiko!
 
Acheni chuki na wachagga, umeachwa kwa sababu nyingine, embu muulize vizuri huyo muachaji, acha kulia lia
Hizi ndio comment za kibabe alizo ziongea mleta mada ....😂 haki vile ukiwa na moyo mdogo hapa jf Uaweza kuitelekeza thread yako then ukajifungia chumbani na kuanza kulia ...yaani mtu una msongo wa mawazo then watu wanakuongezea msongo mwingine.!!!! 😂.
 
Wewe umekutana na wanawake of your own caliber..

Huwezi kua mtu C ukutane na mwanamke A...

Hao wote ni size yako wewe kwa jinsi ulivyo...

Makabila yote yana wanawake wazuri sana na wabaya sana.....

Upo devastated na kuachwa na wanawake bora maana wewe ni mtu C.....wasichana wa grade A huwezi wapata maana wewe ni C,hapo hakuna ukabila ni class issue...

Hata ukienda kwenye kabila lenu bado wasichana wa grade A hupati,na wao utawaita wakabila?

Infact ni class issue hapa....

Unaumia roho with these people for nothing,oa kwenu,oa level yako,acha malalamiko!
ayeeeeeee 😂
 
Mimi mchaga na babangu ananikazia lazima nioe mchaga nikitaka kuoa.japo babangu ni muislamu pure alieshika dini

Ila mimi ni mchaga rebel sina kabisa mambo yao ya kichaga na nitaoa yoyote sitaki limit kwenye maisha yangu.
Hongera sana mkuu
 
Trust me,, sijawahi vutiwa na wanawake wa kabila lenu hata kidogo kutokana na sababu hizi:-
1. Hawana shape (tako ziro, miguu fito)
2. Hawapo romantic hata kidogo.
3. Viuno vigumu,,,dada zako wana kiuno kigumu Kama cha kwako.... kitandani ni magogo ya maana tu.
4. Most of them ni walevi wa pombe kali na Gold diggers tabia inayopelekea umalaya wao wa kiwango cha SGR.
5. Hupenda kumtawala mwanaume....Sasa wewe tu kaka yao umeshindwa ligi yangu unadhani hao dada zako Malaya ndo wataweza kunitawala mnyama mkali Kama mimi?? Zaidi sana watapigwa kipigo cha mbwa koko waishie kuniroga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu inaonyesha umetoswa
 
Yap,,Kuna wachache waliostaarabika kutokana na Elimu na ushika Dini hasa waishio mijini kwenye modern family as you said. Lakini hayo maeneo ya vijijini niliyokutajia Bado wanahusudu matambiko mpaka leo. Na huko ndio uchagani kwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Waheshimu basi hao wachache uliosema hapo maana naona una jazba sana. Hukatazwi kutoa maoni yako muhusu wao lakini fanya hivyo kistaarabu hakuna alie mkamilifu na hakuna jamii iliyokamilika kwa kila kitu na kama ingekuwa hivyo nadhani kila mtu angekimbilia kwenye hiyo jamii ili kumpata wakuishi nae.
Nb: tunaishi kwa kuvumiliana madhaifu yetu tofauti zilizopo katika jamii zetu ndio zinatufunza namna ya kuishi.
 
Aiseee..mm Baba angu ni mchaga mama Kabila kingne,
Kiukweli cjawah kuishi uchagan hata lugha yao cjui kuiongea nahc mshua alibobea Sana mjini na alikua anafanya Mambo yake mengi Kwa kificho.huwezi amini Baba alikuja kufunga ndoa kimyakimya na mchaga mwenzake wakaanzisha familia,Mzee cjui alirogwa maana hata matunzo kwetu akawa hatoi mama ndo alitusomesha mungu saidia sasa hv kila mtu ana kazi yake ya maana.
Babu mzaa Baba alipofariki ndio tulienda huko na kukutana na familia nyingine ya Mzee lakini ubaguz ulijionyesha dhahiri..kwakua Nina mpunga wangu wa kutosha na Mzee analijua hilo akawa anajaribu Kama kubalance Mambo Ila mashangazi wakatukazia kimtindo.
Mambo yalipoisha mshua akatutambulisha pale pamoja na kazi tunazofanya nikaona mashangazi mishipa ya uso inawalegea mara ooh hawa pia ni wadogo zenu muwasaidie nikamjibu sawa.baadae mm na familia yangu tukajitia ndani ya ndinga tunaamsha japo walijidai ooh kuna Mambo ya Mila mm ckujali.
Kuna wakati ctaman kusema mm ni mchaga yaan nataman badili hata ukoo maana hata mwanamke ukimpenda ukimtajia jina la ukoo ana kukwepa.
WACHAGA NI WANA ROHO MBAYA KULIKO SHETANI.
NI WABINAFSI HATARI.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
a is eee 😂 😂 😂 ..... Vita ya 3 ya dunia hii
 
Back
Top Bottom