Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Endeleeni kukwama na ndio akili za kijima ziwakae sawa. Tusubiri ngedere na bundi waamueBaada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.
Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam.
Tangu saa Kumi na Moja jioni mpaka muda huu Treni imesimama hapa, maafisa wa humu ndani ya Treni wanatuambiwa kuwa kuna ishu ya kiufundi ndio tatizo.
Acha ujinga wewe!Vumilieni , msafir kafiri.
Afu mbona mnaripot kukwama Tu lakin mkisafir bila kukwama mnakaa kimya?
Ngoja Tren itoe huduma kwa miaka miwili ndio tutakuja na ripoti kuwa huduma ni nzuri au mbaya kwa sasa ni mapemaVumilieni , msafir kafiri.
Afu mbona mnaripot kukwama Tu lakin mkisafir bila kukwama mnakaa kimya?