KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

KERO Tumekwama ndani ya Treni ya SGR hapa Ngerengere kwa saa tatu sasa, tunaambiwa kuna suala la kiufundi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ilitakiwa iwe kwenye majaribio hata mwaka mzima kabla ya kupandisha abiria lol
Sijui kama tunaweza zaidi ya betting na mpira
Naoni sisi ni nchi pekee tilioruka maisha kutoka kwenye usafiri wa punda, farasi na hata ngamia na kukutana na mabasi na treni na sasa tunalazimisha umeme
 
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.

Mpaka muda huu naandika hapa saa Tatu usiku huu ni kwamba tumekwama kwenye kituo cha Ngerengere tukiwa tunatokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam.

Tangu saa Kumi na Moja jioni mpaka muda huu Treni imesimama hapa, maafisa wa humu ndani ya Treni wanatuambiwa kuwa kuna ishu ya kiufundi ndio tatizo.
Endeleeni kukwama na ndio akili za kijima ziwakae sawa. Tusubiri ngedere na bundi waamue
 
Vumilieni , msafir kafiri.

Afu mbona mnaripot kukwama Tu lakin mkisafir bila kukwama mnakaa kimya?
Ngoja Tren itoe huduma kwa miaka miwili ndio tutakuja na ripoti kuwa huduma ni nzuri au mbaya kwa sasa ni mapema
 
Abiria endeleeni kuyagomea mabasi.

Huko ajali ipo mkononi.
 
Back
Top Bottom