Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

View attachment 3693764Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.


Hawa watu wamekuwa so corrupt na kwa muda mrefu.

Walipopewa nafasi ya kuishi Europe, na kupata connection kwenye Lodges zao, wakajiona ni watu tofauti.

Kwa haraka haraka maisha wanayaona yana thamani sana.

Ila mwenye macho haambiwi ona. Uzee umegonga hodi. Na kifo kitamalizia safari ambayo kila mwanadamu lazima asafiri.

Maana sisi wote ni wanadamu Na kuna mambo ya msingi hata iweje tunafanana.

Niliwahi kumuona Biwott anasema azikwe na jeneza la dhahabu ili mahasimu wake, wasimsogelee hata huko kaburini. Ni kujidanganya

Soʻafari ya majuto kama tulizembea na kuacha wananchi wetu wanaendelea kuishi maisha duni sababu ya ubinafsi wetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…