Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

Huyu yupo kama Pazia tu kwa age yake hata kutembea ni shida, hapo kuna Kundi la wahuni linanufaika nae na ndio wanao run nchi
ukute na wao wanatucheka Tanzania na kibibi chetu kinachotoroka kwa siri kwenda kwa mchepuko wake CHIVAYO!
 
Kuna mambo ya kiseng€ sana yanafanyika Afrika na waafrika masokwe na yanatufanya waAfrika wote kuonekana makuma tu .Adui wa Afrika ni mwafrika
 
Shida sio kutawala muda mrefu, ila hamna cha maana wanachofanya
 
Africa sijui inakuwaga na nini aisee. Sometimes hata ubaguzi kwetu naonaga ni sahihi tuu.
 
Habari kama hizi kwa heshima ya jukwaa na weledi wa jf ni vyema mtu akileta habari basi aweke na chanzo cha taarifa yake ili tupate kuithibitsha........

Kwa heshima ya jukwaa na weledi wa wanajukwaa sio sawa kujadili uzushi au taarifa inayokuja kwa mfumo huu...hata kama ikiwa ni kweli.....
 
Hii ni hatari.

Viti vya Madaraka ni kitu kingine Mtani. Watu wakishakalia hawataki kabisa Mtani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…