Kaanzishe thread yako ya mbappe ..tupo na mada ya GOAT hapa msi lete hao bataMpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
Huko ufaransa wanakuambia Greazman anakiwasha kwelikweli kuliko mbapeMpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
Mchango kwenye timu nakubaliana na nyinyi kwa asilimia zoteAchana na magoli, mchango kwenye timu
Pele hatakiwi kupewa hiyo recognition kwakua katika kizazi chake sheria za mpira zilikuwa weak, zilichangia kum favour sanaKuna the Legend Pele alafu hao wengine....
Yaani kama ni SI Unit kila mtu analinganishwa na Pele....
Kipindi kile hakuna striker kulindwa mtu unapigwa ndaluga mpaka ugoko unatoa unga..., kina Messi hata wasingefikisha hizo mechi nusu ya football career zao ingekuwa Injuries...
There is the Legend alafu hao wengine...
Messi yupo class ya peke yake, an exceptional player.
Halafu ndio wale wengine wajipange akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldinho, Ronaldo de lima, Christiano Ronaldo, Beckeunbauer, di Stefano, Platini nk
Anyway, pole sana mkuu, haikupagwa Ronaldo apite.Mchango kwenye timu nakubaliana na nyinyi kwa asilimia zote
Ila ishu ya penati halafu mnamuita GOAT ndio sielewi elewi
Mtoe Pele kwa hao kina Messi na ndugu zake Pele alikua zaidi ya wote haoMessi yupo class ya peke yake, an exceptional player.
Halafu ndio wale wengine wajipange akina Pele, Maradona, Zidane, Ronaldinho, Ronaldo de lima, Christiano Ronaldo, Beckeunbauer, di Stefano, Platini nk
Messi atakuwa akili yake haiwezi kupembua mambo au sio mfuatiliaji.... (wakati ananyonya watu walikuwa wanauguza ankle zao na magoti na majeraha kadhaa) In short Pele angeweza kucheza leo (technically gifted) lakini kipindi hicho ulihitaji kuwa na nguvu za ziada (Messi ofcourse ana nguvu ila asingecheza mechi nyingi kama anazocheza leo) injuries...Pele hatakiwi kupewa hiyo recognition kwakua katika kizazi chake sheria za mpira zilikuwa weak, zilichangia kum favour sana
Hayo ni maneno ya team Messi
au sergio bushketKama penati ni rahisi amuulize, Harry Kane
I wish ungejipa homework ya kumtazama Pele unge badili maamuziPele hatakiwi kupewa hiyo recognition kwakua katika kizazi chake sheria za mpira zilikuwa weak, zilichangia kum favour sana
Hayo ni maneno ya team Messi
Huyo ni Tuisila Kisinda aliyechangamka , na Leo ndo ataishia hapoPenati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Kama hizi ndio zilikuwa Favor basi mpira ulikuwa zaidi ya RugbyPele hatakiwi kupewa hiyo recognition kwakua katika kizazi chake sheria za mpira zilikuwa weak, zilichangia kum favour sana
Hayo ni maneno ya team Messi
Paragraph ya mwisho hujaisomaI wish ungejipa homework ya kumtazama Pele unge badili maamuzi
Ukweli mtupuMessi atakuwa akili yake haiwezi kupembua mambo au sio mfuatiliaji.... (wakati ananyonya watu walikuwa wanauguza ankle zao na magoti na majeraha kadhaa) In short Pele angeweza kucheza leo (technically gifted) lakini kipindi hicho ulihitaji kuwa na nguvu za ziada (Messi ofcourse ana nguvu ila asingecheza mechi nyingi kama anazocheza leo) injuries...
Hivi unajua kipindi cha kina Pele Striker alikuwa hapewi favor (unapigwa buti mpaka unashangaa) bila nguvu usingeweza kucheza..., Leo Messi ni multi million asset akiumia siku chache sponsors wanapoteza pesa, hivyo refeers wanamlinda akiguswa tu basi...
Kipindi kila beki anakupiga kiatu au hata ukizubaa unapigwa kichwa na pepsi za kutosha..., unadhani kina Messi wangecheza kipindi hicho... huo mwili wake tu angekuwa anawekewa majamaa mawili yaliyoshiba akitoka hapo miguu imevimba.... tena acha kipindi cha kina Pele hata kipindi cha 1990 kina Maradona hebu cheki hapa Cannigia alivyopigwa kiatu (refa anapeta tu) leo hii mtu angejirusha apewe penalty...
Messi ni striker sio kiungo mshambuliaji , usipotoshe Uma tafadhali , alaf ronaldo Delema na Ronaldinho hata usiwasogeze , hao wapo namba tano kushuka hukoHakuna Streka namba 9 kama Ronaldo de Lima na hakuna viungo washambuliaji kama Ronaldinho na Messi.
Critics wa Ronaldo , walipenda sana kutumia hii excuse kuponda mafanikio yake. Hasa alipochukua ufungaji bora.Penati 4 angekuwa CR7 mngemwita Penaldo. Kiukweli kwenye mashindano haya mchezaji bora zaidi ni Mbape.
Tofautisha mfungaji Bora na mchezaji Bora , Mbape mnampa kichwa tuu kama wale madogo wa England na Brazil , avunje Kwanza ukuta wa Morocco Leo ndo tuanze kumuwazia , ni kumkosea heshima Messi kumlinganisha na uchafu wa mbapeMpaka sasa mchezaji bora wa haya mashindano n mbape huyo Messi n mchezaji bora Sana ila bado hajafikia ule ubora wake wa nyuma
Et Mbape , hawa jamaa wanakera kinomaKaanzishe thread yako ya mbappe ..tupo na mada ya GOAT hapa msi lete hao bata