King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wewe vipi umekaa Tz miaka yako yote unaweza kutoa $20,000 bila kujiandaa?!
Misiba tunachangia kila mahali kwenye jamii ya Watanzania. Kuchangia msiba haina maana mfiwa kashindwa kuubeba.Ilitakiwa walimalize wao kama wao tu kwenye umoja wao wanaoishi huko....Tz na US kiuchumi hatulingani hata kidogo,kama ningekuwa US usd 100k au 200k ingekuwa kitu kidogo sana achilia mbali hizo usd 20,000......Huo ndiyo ukweri.
US wameendelea kitambo sana ,nina imani hata kwenye mambo ya bima wapo advanced sana ,kama huku TZ kuna bima ambazo zinagharamia misiba,vp kuhusu marekani walioendelea zaidi ya miaka 200 iliyopita?
Hiyo ya kunyongwa umeitoa wapiDogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
Kuna sehemu nimeandika kunyongwa? Angalia ulichotumia asubuhi hii, sio kizuri kwa afya yako
Ni mtoto wa Lissu?Kuna Mtanzania kijana wa miaka 20 kapigwa risasi baada ya ajali na dogo mwingine wa miaka 19! Mmoja kafa na mwingine atanyongwa 🤔 habari mbaya sana wa Watanzania diaspora na wanajumuia wa Houston na Texas kwa ujumla. Hizi ni kati ya changamoto za kutafuta maisha
20-year-old shot and killed almost instantly by suspect after minor crash, FBCSO says
Authorities say the victim, who was driving, hit the shooter's car just moments before the teenage gunman reportedly opened fire.abc13.com
Hili la kusafirisha mwili linawahusu Watanzania waliopo Marekani.Ilitakiwa walimalize wao kama wao tu kwenye umoja wao wanaoishi huko....Tz na US kiuchumi hatulingani hata kidogo,kama ningekuwa US usd 100k au 200k ingekuwa kitu kidogo sana achilia mbali hizo usd 20,000......Huo ndiyo ukweri.
US wameendelea kitambo sana ,nina imani hata kwenye mambo ya bima wapo advanced sana ,kama huku TZ kuna bima ambazo zinagharamia misiba,vp kuhusu marekani walioendelea zaidi ya miaka 200 iliyopita?
Wahindi huwa wako jamii ya 'brown', wachina na wajapani wako jamii ya 'yellow'. Anayechanganya na black hata akiwa mweupe kabisa yeye huwa 'black'.Hivi Amir Khan mcheza muvi wa india mweupe au mweusi? Jet li wa china mweupe au mweusi?
Misiba tunachangia kila mahali kwenye jamii ya Watanzania. Kuchangia msiba haina maana mfiwa kashindwa kuubeba.
Na kuhusu wewe ungekuwa US 100k au 200k isingekuwa shida unajipa moyo tu. Hapo Tz Ulipo wapo wenzio hio 100k au 200k USD sio issue. Haihitaji uwe USA. Hata huko USA wapo Wabongo kibao hizo 100k USD sio big deal
Hiyo categorization yako ni yako binafsi kwa umeamua wewe iwe hivyo. Ila wengine wote tunajua kama ulivyoeleweshwa na wachangiaji hapo juu white means mzungu then kuna hizo races nyingineHakuna sehemu niliposema mzungu nimesema mweupe, Duniani kuna mtu mweusi na mweupe tu hao wahindi wekundu hawana tofauti ki rangi na John Deep
Mweupe gani msenge tu M mexico huyo fala ugangstar wa kishamba tu.Dogo aligongana na mtu mweupe, mtu mweupe akatoka kwenye gari yake akaja kwa dogo na kumpiga risasi sita, mtu mweupe amekamatwa na amefunguliwa kesi ya mauaji. Sasa sijui ni ubaguzi au bhange tu za mtu mweupe
Kule wanasema roho mkononi...muda wowote unaichia kwa sababu zisizo nakichwa wala miguu!!!Pamoja na hayo yote bado natamani kuishi US hata leo. Sema tu ndio hivyo sina uwezo.
Sidhani kama ni ubaguzi maana hata bongo ishatokea tena na mtu mzito tu. Ni hali fulani tu ya kibinadamu ambayo wengine wanashindwa kuistahimili.