You have a point, ila kuna kuungua kwa nyumba, kupigwa radi, kwenda out as a family , kupikiwa na dada wa kazi, kuna syory ya Taji Liundi, hivyo pia vinaweza kupelekea mkuu.Watz ni watu wajinga Sana .
Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.
Baba
Mama
Watoto
Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.
Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Hao wote wasomi wabobevu mkuu!Sasa mbowe, kabudi,wewe,mama yako,mwigulu,samia,kikwete,tibaijuka,lipumba nk muna tofauti ipi ya kufikiri?
Kwa mujibu wa imanu yangu hakuna aliyewahi kumuona Mungu,wewe pia unaweza kuamini unachoamini.Umeshawahi kumuona anavyopanga?
Sawa.Mungu wa kweli hamuwazii Wala kumpangia mabaya binadamu
Nimecheka kifala sana😂😂😂Watangulie na mama yao ili baba afe peke yake🤔
Hata wewe utakikwepa hicho kifo weee! Ila siku ikifika, hutakuwa na pa kukimbilia. Utakufa tu. Kama siyo kwa ajali, utakufa kwa magonjwa, utauwawa, nk.Watz ni watu wajinga Sana .
Tulishawaambia kuwa wasisafiri na gari moja Kama familia nzima.
Baba
Mama
Watoto
Hawa wote unawakuta wanapanda gari moja na ikitokea ajari wanafariki wote.
Tumewawapa Sana onyo na masomo na upo Uzi upo umu JF.
Ndipo unapofeli hapo hao wote akilli zetu zipo sawa tuHao wote wasomi wabobevu mkuu!
Mkuu kila mtu amepangiwa siku saa na dakika ya kufa kwake huo wakati ukifika haijalishi utakuwa wapi na unafanya nini hutoweza kukikimbia kifo utaondoka tu.Maisha ni kitendawili. Mfano kama familia ikitaka kusafiri na katika fsmilia kukatokea mmoja akatoa wazo kuwa familia nzima isafiri pamoja kwa bus A lakini pengine baba wa familia akakataa wazo hilo na kuweka msisitizo kuwa wanafamilia wengine wapande bus B na ikatokea bahati mbaya bus B likapata ajali na kuua wanafamilia wote waliolipanda si baba wa familia ataumia sana kwa yeye kung'ang'ania wapande bus hilo.
Hivi babu siku ukivuta nitajuaje?Hata wewe utakikwepa hicho kifo weee! Ila siku ikifika, hutakuwa na pa kukimbilia. Utakufa tu. Kama siyo kwa ajali, utakufa kwa magonjwa, utauwawa, nk.
Kifo ni haki ya kila kiumbe hai na si adhabu.Mungu wa kweli hamuwazii Wala kumpangia mabaya binadamu
Nikivuta hii kitu, au 🚬Hivi babu siku ukivuta nitajuaje?
Shukrani Kwa Dua yako njemaAmen, kwa msaada wa Bwana mkimtanguliza na kumkabidhi hiyo safari mtafika pasi na shaka. Tumuamini Mungu mengine tumuachie afanye "Mstari wa msingi: Zaburi 127:1-2 “Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
Kwanini linapokuja suala la kufa watu huwa mnahisi kama ni mkosi?Nikivuta hii kitu, au 🚬
Kama ni kufa, aisee utasubiri sana mjukuu wangu! Maana Mwenyezi Mungu bado ananilinda na kunipigania sana mimi mja wake.
Kuna mzee mmoja anatumia hiyo mbinu. Ana gari nyingi. Zote land cruiser hardtop. Moja inatangulia na wafanyakazi kuandaa nyumba ya kijijini wiki moja kabla. Nyingine inabaki mjini, siku ya safari Cruiser moja inamtoa mjini mpaka airport halafu ile cruiser ya kijijini inakaa airport inawasubiria wanafamilia. Wanapanda ndege kwa makundi makundi. Na kurudi ni hivyo hivyo. Hawapandi gari kwa safari ndefu wala hawapandi ndege kwa pamoja.Tatizo wa TZ tunaona ni ushamba kusafiri na public transport. Mtu unakqenda Arusha au Moshi moja ya maeneo ambayo yana one of the best public transport kuqnzia mabasi, ndege, train etc unaamua kuendesha kwa leseni yako "D" au "E". Ili tuu ukashow off.
Mabasi ya Arusha na Moshi yana madaraja mazuri sana. 2x2 or 2x1 na sasa hivi unaweza safiri hata usiku.
kWa wale wenye fedha nzuri, nunua gari acha kijijini, ukienda likizo una gari la kupigia misele, sio lazima utoke na gari dar hadi bukoba (ushamba).
Wengi hatuogopi kufa. Tunaogopa tu kutangulia.Kwanini linapokuja suala la kufa watu huwa mnahisi kama ni mkosi?