Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

Kumbukumbu ya picha za mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar katika miaka ya 1965 - 1966 . ( Picha kwa hisani kubwa ya Bw. Torres Royer )
 
Kitu kimoja ambacho ccm hawajui au wanasahau kwa umbumbu au kiburi.

Kabla ya Uhuru wazungu walitumia kila aina ya mbinu, kutishia watu weusi ili wasidai uhuru wao.

Hapa Congo Wabelgiji walikata watu viganja vya mikono, waliua watu mchana .. Waafrika walinyongwa mbele ya halaiki za watu ili waogope, lakini and at walizidi kuwa jasiri na kusonga mbele..

Watanzania hawatakubali ujinga wa dola hii dhalimu.
 
1915

Boarding school Machame.

Hawa watu wa kanda hii walistuka mapema katika suala la Elimu.
 
Picha za Kihistoria za Zanzibar : Watu walipokuwa wakivuka kwa kupitia kwenye Daraja la Darajani enzi za kale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…