Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

Umesahau Popo bawa, ilikuwa ikifika mida ya saa moja moja hivi kagiza kanaanza kuingia mnahisi upotevu wa amani.
 
Watangazaji RTD julias nyaisanga /Jakob tesha Dominic chilambo/Ahmed kipozi na Sango kipozi
 
RTD nimekumbuka kipindi cha club Raha Leo show.
Na kile kipindi cha kutuma salam redioni.
Kuna watu lazima uwasikie wakitajwa.
Boko man mkongomani
Salum mwana bongo
Abdalah mpanjinji wa Duka la samaki newala.
Dereva abdala mgeni wa shirika la elimu kibaha.

Jamaa kila salamu redioni hawakosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…