Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi.

Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo.

Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF jua yupo kwenye level hiyo.

Let's draw a conclusion kwamba CCM na viongozi wake wamefikia hatua ya unyama wanaweza kufanya chochote narudia tena chochote you can imagine (kuua kwao ni kawaida) na wasione aibu hata robo. Watanzania hatuna viongozi.
 
Kwa mwaraabu, mweusi Hana thamani angalia Darfur
 
hiyo ni haki pekee anayostahili gaidi au mamaluki lofa gentleman,
aliesma hayo yupo sahihi
 
nani anahuzunika wezi kuuliwa?
 
Sawa, ila msije mkatoa vilio haki ya muuaji itakapowadia.
Gentleman,
imani potofu na ramli useless kama hizo zibaki kwenu washirikina malofa na ushirikina wenu nonsense kwa maendeleo ya taifa

kama vijana wazalendo tunasonga mbele chini ya Dr.Samia Suluhu Hassa na hakuna mamaluki lofa wa kuzuia hilo hata awe na mihemko zaidi ya nyumbu
 
kama vijana wazalendo tunasonga mbele chini ya Dr.Samia Suluhu Hassa na hakuna mamaluki lofa wa kuzuia hilo hata awe na mihemko zaidi ya nyumbu
 
Kwani kuna mtu anasonga nyuma, kila mtu atacheka na kulia kwa wakati wake. Mbwa koko wa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…