ramli nonsense kama hizo yafaa kutishana ninyi kwa ninyi kama jamii ya washirikina malaofa na si vinginevyo my lady,
hata hivyo,
nikuhakikishie tu kwamba,
kama taifa hatutavumilia hata kwa sekunde moja vitendo vya kigaidi humu nchini. gaidi yeyote yule atakaethubutu kuleta kiherehere kuvuruga amani, kuchoma na kulipua sheli za mafuta, ofisi za umma na makazi binafsi ya wananachi hatavumiliwa wala kuonewa huruma bali atapeleka zawadi ya huzuni kwao on the sport.
Hakuna mamluki lofa wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atakaethubutu kuharibu miundombinu ya nchi akaachwa au kuchekewa na vyombo vya ulinzi na usalama kote nchini.
Mihemko ya kupora mali na kuvuruga amani muifanye kwenye familia zenu pekee na sio kwa nchi.
waambie na mamaluki wenzako kuhusu hili bila kificho my lady