kama vijana wazalendo tunasonga mbele chini ya Dr.Samia Suluhu Hassa na hakuna mamaluki lofa wa kuzuia hilo hata awe na mihemko zaidi ya nyumbuView attachment 3545696
mtaalamu wa wa kupika, kuchakata porojo, uzushi na artwork useless Jf, naona umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala?
 
Ukiuwa hata mnyama kwa sababu zisizo na msingi wewe ni muuwaji

Bi chura ni muuwaji!
 
10,000 ni kidogo kwake. Sheitwani mkubwa kombo
 
DAmu zitawafuata wote wanaoona 29 ilikuwa wahuni wamevamia nchi na hawakuwa watanzania walikuwa wakenya
ramli nonsense kama hizo yafaa kutishana ninyi kwa ninyi kama jamii ya washirikina malaofa na si vinginevyo my lady,

hata hivyo,
nikuhakikishie tu kwamba,
kama taifa hatutavumilia hata kwa sekunde moja vitendo vya kigaidi humu nchini. gaidi yeyote yule atakaethubutu kuleta kiherehere kuvuruga amani, kuchoma na kulipua sheli za mafuta, ofisi za umma na makazi binafsi ya wananachi hatavumiliwa wala kuonewa huruma bali atapeleka zawadi ya huzuni kwao on the sport.

Hakuna mamluki lofa wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi atakaethubutu kuharibu miundombinu ya nchi akaachwa au kuchekewa na vyombo vya ulinzi na usalama kote nchini.
Mihemko ya kupora mali na kuvuruga amani muifanye kwenye familia zenu pekee na sio kwa nchi.

waambie na mamaluki wenzako kuhusu hili bila kificho my lady
 
Akii imeisha angalia hii ukimbie nchi https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1FDqfT8WY4/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…