Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Kwamba mwamba ni namba mbili hapo juu, daaa ata yeye akiangalia naamin anashangaa sana, namba mbili kwa lipi alilofanya ata tz tu peke yake.
 
Anayestahili kushinda hapo ni mh. NANA AKUFO-ADDO wa Ghana.

Hao wengine ni wasindikizaji tuu
 
Then what akishashinda?

Kuna any direct positive consequences kwa jamii masikini ya kitanzania?
 
Mjinga wewe
 
Moyo wangu unauma inakuwaje nataka nipige kura nakuta mtandao umeblokiwa daaah aisee hii ilikuwa kura ya Ghana kabisa hata kwa VPN nitapiga kura

Mkuu wapiga kura wengi huko ni watanzania na ndio wanampa rais wa Ghana. Hivyo wameona isiwe tabu bora wablock huo mtandao. Mpaka mwisho wa zoezi rais wa Ghana atashinda kwa nguvu. Hata kwenye uchaguzi mkuu matokeo yalikuwa hivyo hivyo.
 
Kitu Nana wa Ghana daaaadeki!!!
Oh Nananaa bebi oNanananaaa bebiyoo....
Nani achague diktechwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…