wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,343
Kwamba mwamba ni namba mbili hapo juu, daaa ata yeye akiangalia naamin anashangaa sana, namba mbili kwa lipi alilofanya ata tz tu peke yake.Siasa zenu ndizo zinaligawa taifa, jana Magufuli alikuwa anaongoza kwa 95% leo kapitwa hadi trh 8 sijui kama hata 20% anaweza kupata.
Na kadri unavyowajibu watu ndivyo kura zake unazipunguza, mwisho utajilaumu kwanini ulianzisha uzi huu.
View attachment 1666168