Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Siasa zenu ndizo zinaligawa taifa, jana Magufuli alikuwa anaongoza kwa 95% leo kapitwa hadi trh 8 sijui kama hata 20% anaweza kupata.

Na kadri unavyowajibu watu ndivyo kura zake unazipunguza, mwisho utajilaumu kwanini ulianzisha uzi huu.

View attachment 1666168
Kwamba mwamba ni namba mbili hapo juu, daaa ata yeye akiangalia naamin anashangaa sana, namba mbili kwa lipi alilofanya ata tz tu peke yake.
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.

Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Anayestahili kushinda hapo ni mh. NANA AKUFO-ADDO wa Ghana.

Hao wengine ni wasindikizaji tuu
 
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Africa wa mwaka.

Rais magufuli anashindaniswa na marais wa Djibouti. Afrika kusini .Senegal na Ghana wakiwa kwenye tano bora

Japo magufuli anaongoza lakini kura yako ni muhimu sana

USSRView attachment 1665817View attachment 1665818
Mjinga wewe
 
Moyo wangu unauma inakuwaje nataka nipige kura nakuta mtandao umeblokiwa daaah aisee hii ilikuwa kura ya Ghana kabisa hata kwa VPN nitapiga kura

Mkuu wapiga kura wengi huko ni watanzania na ndio wanampa rais wa Ghana. Hivyo wameona isiwe tabu bora wablock huo mtandao. Mpaka mwisho wa zoezi rais wa Ghana atashinda kwa nguvu. Hata kwenye uchaguzi mkuu matokeo yalikuwa hivyo hivyo.
 
Kitu Nana wa Ghana daaaadeki!!!
Oh Nananaa bebi oNanananaaa bebiyoo....
Nani achague diktechwara?
 
Back
Top Bottom