Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Tumpigie kura Rais Magufuli kuwa "Best Political Leader of the Year 2020"

Over my dead body! This very murderer a good leader!!???? spare me this shit!
Waulize walioanzisha hiyo tuzo.
Plus nani kauliwa? Jibu hauna! Endelea kujiua mwenyewe deep down...mchawi wako kamuangalie ktk kioo utamuona
 
Kigezo kimoja tu cha kuweka mazingira wezeshi na “kuruhusu” uchaguzi huru na wa haki kabisa kufanyika kwa uwazi na matokeo yote kuwekwa public within 24 hrs bila figisu, President Nana-Akufo Addo anapaswa kutangazwa mshindi mapema mno
 
Waulize walioanzisha hiyo tuzo.
Plus nani kauliwa? Jibu hauna! Endelea kujiua mwenyewe deep down...mchawi wako kamuangalie ktk kioo utamuona
Hizi bakora zinazotembezwa na kila kiongozi ni nani kabariki! Waliouliwa huwajui!? eti kwa sababu wewe na shangazi zako mnakula na kunya kodi zetu! Nenda kavae minyororoni miguuni wee kuku wa kizungu!
 
Are we serious that ,Mr President shall win this battle? Who knows him in the World? May be if it could be hosted by our NEC, surely the victory could be 100 percent
 
Hizi bakora zinazotembezwa na kila kiongozi ni nani kabariki! Waliouliwa huwajui!? eti kwa sababu wewe na shangazi zako mnakula na kunya kodi zetu! Nenda kavae minyororoni miguuni wee kuku wa kizungu!
Mkuu umeathirika kisaikolojia ila haujui.
 
Naona mabeberu hawajapendezwa na JPM kuongoza kwanini nineshindwa kupiga kura.Nilitaka kuona ulimwenguvunashangazwa na vitu viliopo kwetu TZ badala ya wao wanavyobeza .
Screenshot_20210103-132632.jpg
 
Nampigia kura Rais wa Ghana, yule baba ni kiongozi bora sana! Jiwe hapanaaa..
 
Inafunguka kwa shida sana mkuu, na ata ikifunguka kwenye position ya african leader hakuna opt ya namna yoyote ya kuchagua, yaan hakuna kidoti kwa pembeni wala kwa chini hakuna neno vote
..namna ya kuchagua ipo mkuu.
Kabla ya jina la mhusika kuna ka-duara kadogo, una-click hapo kumchagua unayemtaka, then kule chini unabofya "vote"
 
Naona mabeberu hawajapendezwa na JPM kuongoza kwanini nineshindwa kupiga kura.Nilitaka kuona ulimwenguvunashangazwa na vitu viliopo kwetu TZ badala ya wao wanavyobeza .View attachment 1666452
Lumumba wameshangaa kuwa woote mnachagua tu Ghana! Wameamua isiwe shida, wamepiga pini mtandao husika huko Tz
 
Mkuu umeathirika kisaikolojia ila haujui.
Ni kweli hasa baada ya kuwaona ndugu zangu wakitekwa na kuuliwa bila sababu! For your info nina undugu na Ben saanane!
Ni kweli nimeathirika hasa baada ya kuona waliotakiwa kustaafu kwe heshima baada ya miaka 30 ya kazi zenye mafanikio! wakifukuzwa kama mbwa eti vyeti feki!
Ni kweli nimeathirika kisaikologia baada ya kuona wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha bank bila taarifa au kwa visingizio tu!
Ni kweli nimeathirika kisaikologia baada ya kuona watu wazima wasomi wakisifu wizi kwenye uchaguzi.
Hapa nyamongo waliofidiwa hela walizongoja kwa miongo kadhaa wamenyang'anywa na TRA kwa kutishwa tu!

ASIYE NA UBINADAMU AU ALIYE KWENYE TRANSITION YA KUWA BINADAMU HUYO HATAONA SHIDA/HATAATHIRIKA ATAKUWA KWENYE COMFORT ZONE!
Narudia tena nimpigie kura huyu huyu?
 
Huyu wa kwenu sio kiongozi bora. Amevuruga Demokrasia nchini, matukio ya ukiukaji wa haki za binadamu ndio kipaumbele chake, visasi na kuwasingizia watu makosa. Kufungia account za wafanyabiashara etc.
The world is watching him, ndio maana hawezi kupata hiyo tuzo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!

Hapo walipo yule wa South Afrika ana 0.80% na wa Senegal ana 0.40% sasa huoni Magu yuko juu sana?

Alafu mkimpigia yule wa Ghana ndio Lisu anakuwa rais ee?
 
Back
Top Bottom