Hata hiyo 10% atajisifu.Huyo ni 0%!Hali ni mbaya na inakwenda kwa nasi mno. Ndani ya SAA 24 katoka 92% kaporomoka hadi 45%.
Kuna kila dalili hadi kufikia hiyo tarehe 8 Jan wakifunga kuna kujikuta ana 10% tuuView attachment 1666369
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hiyo 10% atajisifu.Huyo ni 0%!Hali ni mbaya na inakwenda kwa nasi mno. Ndani ya SAA 24 katoka 92% kaporomoka hadi 45%.
Kuna kila dalili hadi kufikia hiyo tarehe 8 Jan wakifunga kuna kujikuta ana 10% tuuView attachment 1666369
Waulize walioanzisha hiyo tuzo.Over my dead body! This very murderer a good leader!!???? spare me this shit!
Hizi bakora zinazotembezwa na kila kiongozi ni nani kabariki! Waliouliwa huwajui!? eti kwa sababu wewe na shangazi zako mnakula na kunya kodi zetu! Nenda kavae minyororoni miguuni wee kuku wa kizungu!Waulize walioanzisha hiyo tuzo.
Plus nani kauliwa? Jibu hauna! Endelea kujiua mwenyewe deep down...mchawi wako kamuangalie ktk kioo utamuona
Mkuu umeathirika kisaikolojia ila haujui.Hizi bakora zinazotembezwa na kila kiongozi ni nani kabariki! Waliouliwa huwajui!? eti kwa sababu wewe na shangazi zako mnakula na kunya kodi zetu! Nenda kavae minyororoni miguuni wee kuku wa kizungu!
Naamini akishinda mishahara itaongezekaSifa zake, uthubutu wake, umahiri wake wa kuongoza, Imani Kali Sana Kwa Mungu wake, zinavuma kote duniani
Ni wivu wa kijinga Kwa mtu yeyote atakayemnyima Kura!!
..namna ya kuchagua ipo mkuu.Inafunguka kwa shida sana mkuu, na ata ikifunguka kwenye position ya african leader hakuna opt ya namna yoyote ya kuchagua, yaan hakuna kidoti kwa pembeni wala kwa chini hakuna neno vote
Wewe jamaa ni dumbest ever.Nakuongoza wewe na mmeo na ukoo wako wote hata kodi mnalipa kila siku
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Lumumba wameshangaa kuwa woote mnachagua tu Ghana! Wameamua isiwe shida, wamepiga pini mtandao husika huko TzNaona mabeberu hawajapendezwa na JPM kuongoza kwanini nineshindwa kupiga kura.Nilitaka kuona ulimwenguvunashangazwa na vitu viliopo kwetu TZ badala ya wao wanavyobeza .View attachment 1666452
Ni kweli hasa baada ya kuwaona ndugu zangu wakitekwa na kuuliwa bila sababu! For your info nina undugu na Ben saanane!Mkuu umeathirika kisaikolojia ila haujui.
Kweli kwa vigezo vya ubabe ushindi ni lazima na siyo kwa viashiria vya uongozi bora.Ushindi ni lazima!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wajinga sana!Huyu wa kwenu sio kiongozi bora. Amevuruga Demokrasia nchini, matukio ya ukiukaji wa haki za binadamu ndio kipaumbele chake, visasi na kuwasingizia watu makosa. Kufungia account za wafanyabiashara etc.
The world is watching him, ndio maana hawezi kupata hiyo tuzo.