#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Wewe ni mshenzi kwa sababu unatetea mawazo ya kishetani na unaonekana unashiriki mambo ya free mason .

Huna tofauti na lucifa yaani unaombea watanzania wengi wafe kwa corona kwa kukataa chanjo ili upate kafara.
Mkuu nadhani umekosea,wanaotetea C-19 shot ndio wanaotetea hoja za kishetani au ki-Freemason,mbona mimi niko against the C-19 shot?
 
Pole sana kwa kupoteza ndugu zako kwa ugonjwa wa corona
 
Huyu ndiye yule askofu wa wajinga aliyekuwa akiwahamasisha wasukuma kwa kilugha wamsapoti dikteta aliyekwenda?!! Askofu huyu anaamini katika kufufua ndondocha na misukule lakini haamini korona inaua?!!!!
Hatujakataa kuwa ni askofu wa wajinga, hilo tumekubali, ila sasa, jibu hoja zake
 
Afu walivyomchanja kikatokea nini?? na ukajifunza nini??
 
Kama hamuwezi kujibu hoja zake, kwanini msikae kimya hoja ipite? Regardless ni za Lucifer au za malaika
Mimi nimewaambia watuambie kwa nini hoja zake ni za Lucifer wameshindwa.Unajua,hawa watu ni wajinga sana,kwa kuwa Magufuli aliwaendesha puta kwa sababu ya ujinga wao,kila kitu cha Magufuli ni kibaya.Very stupid indeed.

Infact kutetea the C-19 shot ndio ushetani,kwa kuwa the idea of the shot comes from Lucifer.The short is infact Microsoft Windows 666 mRNA Operating System.

Kwa wale wanaojua maana ya namba 666, watakubaliana nami kwamba the technology comes from Lucifer himself.
 
Ila Gwajima si wa mchezo mchezo,cheki jinsi alivyomfuta Bashite kwenye siasa
 
Let him continue digging his own grave. He looks confused.
 
Mkuu kwa bahati mbaya hoja hii umeileta wewe mwenyewe ukiwa huna ufahamu wowote wa kitaaluma kuhusu C-19.Mbaya zaidi,wachangiaji wako wengi nao ufahamu wao kuhusu C-19 ni mdogo sana au hawana kabisa,so wanamshambulia Gwajima bila hoja zozote mbadala,kwa hiyo ni vigumu sana kuendelea na mjadala kama huo.

Nahisi kuna chuki binafsi kwa marehemu,ila a sound mind haiwezi kuwa na msimamo kama huo.Watu huwa tunaangalia hoja sio mtu.

Mwisho,nakushauri kwa mara nyingine tena wewe mwenyewe na wachangiaji wako,kama kweli mna nia ya dhati ya kujifunza kuhusu C-19 mfuate link ifuatayo.Link hiyo imesheheni taarifa nyingi sana authentic za kitaalamu kuhusu C-19,from independent and uncompromized scientists.Sio huu udaku tunao usikia from the mainstream news channels kama CNN,BBC.Aljazeera,SkyNews,NBC,CGTN nk. na watoto wao kama ITV,Azam,Clouds nk.

Kumbuka kwamba, "no research,no right to speak."




Labda ni vizuri ukasoma hii pia,it will show you the dangers we are facing.

 
Hawajiulizi ni kwanini baada ya C19 ghafla kumeibuka shortage ya computer chips duniani
 
Kumpuuza Gwajima et hana utaalamu na mambo ya chanjo hata sio jambo la kushangaaza kwa sababu hata huko kwa mabeberu wataalamu wanapuuzwa na siasa ndio inachukua nafasi kwenye kushughulikia covid-19, mitandao ya kijamii huko wakiandika yaliyo kijume na WHO inachukuliwa ni taarifa za kupotosha na kufutwa.
 
Ungejibu kwanza kuhusu treni hapo ningejua huna mhemko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…