#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..


FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
You are misinformed
 
Kiukweli mimi naiogopa chanjo kutokana na side effects ninazo zisikia. Ila watuletee tu ili wanaohitaji wapate. Sina pingamizi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Wewe unaogopa, wenzio wachanjwe kwa sababu ya ujinga walio nao?No we must protect them,pamoja na ujinga wao.
 
Kucheza pono ndio kuondoa fikra chanya , mbona kacheza pono na kawa mbunge unaweza weka chuki na usielewe anachosema kwa chuki binafsi na bado ukawa haumzidi maisha.

Alikuwa mbunge kwa kura, au yule dhalimu aliyeko motoni ndio aliigiza atangazwe mshindi?
 
Kwanza ni makosa kumwita mweshimiwa,
Hivi aliwezaje kupata waumini kwenye kabisa lake?
 
Kwanza ni makosa kumwita mweshimiwa,
Hivi aliwezaje kupata waumini kwenye kabisa lake?
Ulicho andika hapa ni upuuzi.Gwajima kaongea,sasa if you think he is wrong,give us alternative facts.It is stupid kumshambulia halafu ukaachia hapo.
 
Nilichokiona kwa baadhi ya wachangiaji hapa pamoja na mleta UZI, wanamjadili BISHOP GWAJIMA binafsi badala ya kuongelea kile alichoongea.

Siasa na chuki za kijinga dhidi BISHOP GWAJIMA.
 
Kumpuuza Gwajima et hana utaalamu na mambo ya chanjo hata sio jambo la kushangaaza kwa sababu hata huko kwa mabeberu wataalamu wanapuuzwa na siasa ndio inachukua nafasi kwenye kushughulikia covid-19, mitandao ya kijamii huko wakiandika yaliyo kijume na WHO inachukuliwa ni taarifa za kupotosha na kufutwa.
Uko sahihi kabisa mkuu.Bill Gates hana utaalamu wowote wa chanjo duniani,lakini kwa sasa ndiye vaccine Tzar.Anyway,I am not surprized by the comment,it comes from a very uninformed person.
 
Nafikiri wewe ndio mpuuzi wa kupuuzwa Gwajima kachambua kkitaalamu zaidi kuhusu chanjo hiyo na wewe umekuja na gazeti refu limejaa shutuma tu , pathetic
Gwaji boy Ana utalaam upi? Labda wa kudanganya misukule yake na kula kondoo. Eti linajiita askofu my foot! Askofu unashiriki Haram? Hili tapeli na lile Lusekelo yaanamwaabisha tu Kristo
 
Sikiliza hoja zake, uchambue kwa evidences wapi kaongea pumba na wewe utoe facts zako. Kujibu kwa misingi ya kisasa na ushabiki ni tatizo kuliko corona. Na wote mnaopingana na Gwajima katikahoja hii ninyi nyote ni mapubavu tu.
Umeanza vizuri ukamaliza kipumbavu
 
Amekuja na data za kutosha sasa mjibu kisomi


Kwanza tuambie ile alichosema kadanganya?

Kwenye website official amesema wameandika side effect za chanjo ambapo Karibu zote zinaonesha kuganda damu na kufa

Lakini pia ametaja taasisi ambayo zinahusika na mambo ya chanjo dunian na zinaratibu taratibu pia je tuambir ameongoka na taratibu zimefatwa? Kwa watengeneza chanjo za covid 19?

Mjibu kisomi acha chuki ukipenda sana chanjo kacjome Kenya wqnazo
Kama side effect ni kuganda damu na kufa so tutegemee nchi zilizochanja raia wake kubaki mashamba matupu na mahame?
 
Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
Taratibu muumini wa uzima na ufufuko. Chanjo ni mhimu endapo itaonekana balaa limezidi. WHO ndo chombo pekee kitakachothibitisha ama chanjo itumike au isitumike. Binafsi nitachanjwa bira shuruti, kabla ya kuchanjwa nitaacha maelekezo kwa ndugu zangu juu ya uwezo wa bishop Gwajima wa kufufua wafu. So endapo damu ikiganda nikifa muujiza wa ufufuo na uzima utanihusu.
Na log off.
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

Bado hujaeleza sababu za kisayansi kwa nini tunapaswa kumpuuza mbunge Gwajima.
 
Kama side effect ni kuganda damu na kufa so tutegemee nchi zilizochanja raia wake kubaki mashamba matupu na mahame?
Mkuu mpaka sasa watu wengi wanakataa kuchanjwa,ila taarifa hii hazitolewi,wanaficha ili wasi-encourage watu kukubali hiyo chanjo.

Halafu wengi waliochanjwa wanakufa,usijidanganye.Deaths and other side effects start from day one,ila maximum life expectancy ya mtu aliyechanjwa ni 3 yrs only according,to a former Pfizer scientist Mike Yeadon.
 
Mkuu mpaka sasa watu wengi wanakataa kuchanjwa,ila taarifa hii hazitolewi,wanaficha ili wasi-encourage watu kukubali hiyo chanjo.

Halafu wengi waliochanjwa wanakufa,usijidanganye.Deaths and other side effects start from day one,ila maximum life expectancy ya mtu aliyechanjwa ni 3 yrs only according,to a former Pfizer scientist Mike Yeadon.
Sasa kama wanakataa na taarifa hazitolewi. Wewe umepata wapi taarifa kiongozi wangu?
 
Back
Top Bottom