#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Hicho sio kipeperushi mkuu,ni summary ya kitabu kilichoandikwa na mtu wa ndani wa Bildeberg Group, ambao ndio wenye mpango mzima wa depopulation kupitia kwenye chanjo ya C-19,na hatimaye kuwa na mfumo mpya wa dunia(NWO).

Mkuu mimi sina source moja ya taarifa,I have many.Kama kweli una nia ya kujifunza kuhusu C-19,fuata link niliyoweka,ina taarifa za wataalamu wengi,hiyo summary nimeiweka kama kianzio tu,na nimeliweka hili wazi kwenye comment yangu.
Hadithi za kutunga za anti vaxxers
 
Hadithi za kutunga za anti vaxxers
Mawazo yaki-puuzi sana haya.Lete alternative facts,sio tu kukomalia eti antivaxxers,mmetumwa?You are psychopaths and very evil.Kwenu souls are nothing,you only care about your stomachs.To me any soul which perishes is important.
 
Wewe haujaleta taarifa ya kutaalamu Bali umeleta hekaya za kiabunuwasi au consipiracy theories
Characteristic moja wapo ya a slave and a mind controlled individual ni kila wakati kukiri kwamba others are conspirators. Conspirators ni the NWO cabal,because they are conspiring evil against us or humanity.

Lakini wewe umesomea wapi,kama umesoma at all,because you are very irrational.Sasa kama unasema the reports I am bringing are conspiracies,while they are reports from University Professors and Doctors,where do you want the reports to come from.So who do you believe in.Wewe ni mpuuzi Fulani tu.

But exactly who are you,are you a Demon?Or has your Pineal Gland been destroyed?Utateaje mipango miovu kabisa ya Shetani ya kuua binadamu en masse? Unbelievable.
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Jomba umeandika kwa woga nanhofu ya kuambukizwa..sijui kama majibu yako Yana facts yoyote maana sioni..wewe no Dr au just a mere citizen...kwanza umeongopa Uingereza sio 99 asilimia wamechanjwa..unajua population yao...unajua young age wapo wangapi na watu wazima wangapi...je Ni wote wamechanjwa? Tafiti kabla hujaongea...pia kwa Tanzania umefanya research kwenye hospitali ukapata takwimu au unataka kutuletea ushuzi wa kutiana hofu hapa...usitake kuleta hofu jomba kwa watu..kaa na hofu yako...hivi unajua India kwa siku wanakufa wangapi,. Zaidi ya watu 4000..je Tanzania kwa siku wanakufa wangapi, unajua, na je kwanini sisi hatufi hivyo, una any medical defense...una maelezo yoyote kwa Nini sisi hatuko hivyo...kwa hiyo jomba nadhan hofu yako kaa nayo nyumbani kwako Wala hatuihitaji...
 
Nabii gani kibaka wa kura! Ni wa kusamehe bure.
Kura zipi unazungumzia we pimbi...wananchi wakifanya maamuzi yao mnasema kura zimeibiwa, pumbaf kweli nyie jamaa..msiwadharau wananchi kiasi hicho..msiwachukulie poa
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Sisi sasa tunakupuuza wewe kwa andiko lako lisilo na facts zozote...haujatuambia kitu hapa Ni pumba tupu..na akili ya kitumwa uliyo nayo
 
"FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao"
Hi sentensi inanifikirisha sana..mpaka nakosa usingizi..why tulazimishwe chanjo now,. Is it business?
 
Watanzania mnapenda Sana kufuata upepo.hivi kama mngekuwa mnakufa kama wenzenu mngesema nini?
Sio kila kitu NI cha kujaribu.vingine viacheni vipite
Hawaelewi wapo kama wehu vile...wanakuwa kama bendera fuata upepo
 
Acha uongo sahv low season unataka wazungu waje unakua kama mwehu fala weeh
 
Mawazo yaki-puuzi sana haya.Lete alternative facts,sio tu kukomalia eti antivaxxers,mmetumwa?You are psychopaths and very evil.Kwenu souls are nothing,you only care about your stomachs.To me any soul which perishes is important.
Unaokoteza literatures kuja kutuzajia takataka kwenye severs tu unadai unaokoa souls.

Upuuzi mtupu, hata Mwendazake alikuwa kama wewe, kabisha uwapo wa corona na kakataa chanjo na kafa kwa corona.
 
Characteristic moja wapo ya a slave and a mind controlled individual ni kila wakati kukiri kwamba others are conspirators. Conspirators ni the NWO cabal,because they are conspiring evil against us or humanity.

Lakini wewe umesomea wapi,kama umesoma at all,because you are very irrational.Sasa kama unasema the reports I am bringing are conspiracies,while they are reports from University Professors and Doctors,where do you want the reports to come from.So who do you believe in.Wewe ni mpuuzi Fulani tu.

But exactly who are you,are you a Demon?Or has your Pineal Gland been destroyed?Utateaje mipango miovu kabisa ya Shetani ya kuua binadamu en masse? Unbelievable.
Takataka tu hizo unazoleta tunazikuta kila mahali na tuna zi ignore. Only embecile twats like you will buy them
 
Unaokoteza literatures kuja kutuzajia takataka kwenye severs tu unadai unaokoa souls.

Upuuzi mtupu, hata Mwendazake alikuwa kama wewe, kabisha uwapo wa corona na kakataa chanjo na kafa kwa corona.
Maamuzi ya Wizara ya Afya ukeyasikia?Hatutakubali kuua wananchi wetu,period.Tuko tayari hata kutengwa na jumuia ya kimataifa.Tapikeni hela za watu mlizokula kwa ahadi kwamba mtashinikiza chanjo ikubalike Tanzania.Our struggle is not in vain,matunda tunayaona.True science must be respected.
 
Takataka tu hizo unazoleta tunazikuta kila mahali na tuna zi ignore. Only embecile twats like you will buy them
Weka CV yako hapa tuione kama kweli you deserve even to comment anything about the C-19.

You are a real crap,evil and psycopath.Freemasons wamekulisha damu za watu,adenochrome,
nyama na foetuses za watoto wachanga mpaka umekuwa kituko, hujali maisha ya watu kabisa.Hangaikeni tu kuua watu kwa kudanganywa na Shetani,but your time of reckoning is swiftly approaching.

Helloo....,the next kafara la watoto pale nyuma ya Kepinsk ni lini?
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Umeandika kwa Mihemiko zaidi.Weka facts za kisayansi kama alivyofanya yeye.yeye amekwambia hakatai nchi kuchanjwa ila anatahadharisha kwa sababu ameelezea hiyo chanjo ilivyo,na kuwaomba watalaamu wetu wafanye tafiti kabla ya hiyo chanjo kuruhusiwa,baada ya kuanisha madhara yaliyoonyeshwa na mtengenezaji wa chanjo mwenyewe.

Sasa wewe unakuja hapa kusema sababu nchi nyingine wanachanja na sisi tuchanje tuu.Upuuzi huuu mkuu.Tunatakiwa tuchanjwe tukishaijua hiyo chanjo yenyewe vizuri.pia tukumbuke kuwa tayari mheshimwa raisi ameshaunda kamati ya watalaamu wakumshauri.Nadhani watamshauri vizuri. wewe ndiyo wa kupuuzwa kwa sababu una muono mbele hafifu
 
ni maoni yake lakini pia mimi Binafsi labda nifungwe kamba ndio nitachanjwa hiyo chanjo yenu
Simamia msimamo wako mkuu,it is the right one.Hiyo wanayoiita chanjo sio chanjo mkuu,ni Microsoft Windows 666 mRNA Operating System,ambayo nia yake ni kuweza ku-programme your DNA kama wanavyotaka,na hivyo kukufanya uwe kama wanavyotaka.It is so horrifying. In fact you become a live computer.This explains why Bill Gates left the computer business to strengthen the so called vaccine business.Na kama unajua maana ya 666,you know the whole thing is Satanic!
 
Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani.

Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani.Dunia nzima inagombania chanjo hiyo ya ugonjwa hatari wa corona. Tayari ukiachilia nchi zilizoendelea kama Uingereza tayari asilimia 99 ya watu wanaoishi washachanjwa,Nchi za Afrika kama Ghana,Kenya,Rwanda wanaendelea na zoezi hilo.

Huyu Mheshimiwa akatembelee hospitali za Dar tu akaone zilivyofurika.Wakati wa awamu ya tano tulikuwa tunaambiwa ni ugonjwa wa kushindwa kupumua

Sasa awamu ya sita kwa kufuata ushauri wa WHO sijui kama anajua kirefu chake imeamua kufuata kwa manufaa ya wananchi na wageni. India watu kwa mamia wanateketea vivyo hivyo Brazil, Afrika ya Kusini baada ya kuumizwa sana na hatua za kuuzuia ugonjwa huu sasa ni afadhali kwani tayari nao wanachanja. Wameshusha hadi grade 1.

Sisi tumesaidiwa sana na nchi jirani kufunga mipaka yake vingenevyo Askofu sijui angekimbilia wapi.Uchumi wetu umedondoka anajua hilo? Watalii hasa Warusi waliokuwa wanajazana Zanzibar wamekimbia wa Serengeti hawapo kabisa kisa washaambiwa Tanzania kuna Corona na serikali inaficha ukweli.wawekezaji nao hawaonekani kutokana na uoga wa corona na ukandamizaji wa kodi na utaifishaji wa mali.analijua hilo? Dada Mdee mpe Elimu kidogo Mh Askofu hapo Bungeni.

Tanzania sio kijiji.Mwenzio akinyolewa wewe tia maji.Tukiwasikiliza akina Askofu Gwajima Hakutakalika nchini.Serikali iache kusikiliza upuuzi wa akina Askofu Gwajima.

#Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

#Kazi iendelee.

Soma: Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona
Tuko pamoja mkuu. hawa wanalengo la kumkwamisha mama, wanasubiri tatizo liwe kubwa kama india waanze kusema mama ameshindwa kuendesha nchi.
 
Gwajima ni katika takataka za mwendazake ambazo zimesalia pale bungeni, kazi yake ni kuhubiri Injili na kukusanya sadaka za kanisani ana theory mgando kabisa nilimsikia akiyayatika pale bungeni, ushauri wake ni hardheaded., sasa kama chanjo after 10 years to come itauwa kizazi ndio ni bora mtu afe ili kukwepa hilo?

Mwendazake alisema barakoa za nje zimeletwa zinasumu mbona sasa mama anazivaa kila uchao?
Tanzania ni nchi mbaya sana ambayo watu wake wanajifanya wajuaji sana, lakini ni empty head kabisa ni kwa sababu tu ya vile ni mtanzania lazima alete itikadi ya kitanzania.

Haya mambo, mama samia amesema vizuri sana kuunda tume ya kidaktari kuchunguza kama zitaonekana kufaa kwa watu wetu kwanini anayetaka asichomwe kuokoa maisha ya watu wetu na hayo maradhi?

Hizi chanjo tumeona duniani kote walianza na wazee ambao ni aged kidogo ambao ndio imeonekana hawa kwa asilimia kubwa ndio hupoteza maisha kutokana na corona.,

Dunia bado haijapata dawa rasmi lakini sasa ni kuokoa vifo.,
 
Kura zipi unazungumzia we pimbi...wananchi wakifanya maamuzi yao mnasema kura zimeibiwa, pumbaf kweli nyie jamaa..msiwadharau wananchi kiasi hicho..msiwachukulie poa
Ule haukuwa uchaguzi ndugu; mwendazake kwenye kuheshimu katiba, sheria na utawala bora alifeli vibaya saana!!

Wabunge wengi mule ni ma-fambastic akiwemo huyo aliyejigeuza mwanaharakati wa utetezi wa haki za wanawake CDM.
 
Aliyemuwezesha kufika hapo bungeni alikua na itikadi hizo, unategemea nini kutoka kwa Gwajima? Anamuenzi mwendazake.
 
Back
Top Bottom