#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Wenzenu wanapukutika kwa hiyo mnayoita wrongly chanjo,ninyi mnaishabikia,are you robots?
Kiukweli mimi naiogopa chanjo kutokana na side effects ninazo zisikia. Ila watuletee tu ili wanaohitaji wapate. Sina pingamizi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
You are misinformed
 
Kiukweli mimi naiogopa chanjo kutokana na side effects ninazo zisikia. Ila watuletee tu ili wanaohitaji wapate. Sina pingamizi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Wewe unaogopa, wenzio wachanjwe kwa sababu ya ujinga walio nao?No we must protect them,pamoja na ujinga wao.
 
Kucheza pono ndio kuondoa fikra chanya , mbona kacheza pono na kawa mbunge unaweza weka chuki na usielewe anachosema kwa chuki binafsi na bado ukawa haumzidi maisha.

Alikuwa mbunge kwa kura, au yule dhalimu aliyeko motoni ndio aliigiza atangazwe mshindi?
 
Kwanza ni makosa kumwita mweshimiwa,
Hivi aliwezaje kupata waumini kwenye kabisa lake?
 
Kwanza ni makosa kumwita mweshimiwa,
Hivi aliwezaje kupata waumini kwenye kabisa lake?
Ulicho andika hapa ni upuuzi.Gwajima kaongea,sasa if you think he is wrong,give us alternative facts.It is stupid kumshambulia halafu ukaachia hapo.
 
Nilichokiona kwa baadhi ya wachangiaji hapa pamoja na mleta UZI, wanamjadili BISHOP GWAJIMA binafsi badala ya kuongelea kile alichoongea.

Siasa na chuki za kijinga dhidi BISHOP GWAJIMA.
 
Uko sahihi kabisa mkuu.Bill Gates hana utaalamu wowote wa chanjo duniani,lakini kwa sasa ndiye vaccine Tzar.Anyway,I am not surprized by the comment,it comes from a very uninformed person.
 
Nafikiri wewe ndio mpuuzi wa kupuuzwa Gwajima kachambua kkitaalamu zaidi kuhusu chanjo hiyo na wewe umekuja na gazeti refu limejaa shutuma tu , pathetic
Gwaji boy Ana utalaam upi? Labda wa kudanganya misukule yake na kula kondoo. Eti linajiita askofu my foot! Askofu unashiriki Haram? Hili tapeli na lile Lusekelo yaanamwaabisha tu Kristo
 
Sikiliza hoja zake, uchambue kwa evidences wapi kaongea pumba na wewe utoe facts zako. Kujibu kwa misingi ya kisasa na ushabiki ni tatizo kuliko corona. Na wote mnaopingana na Gwajima katikahoja hii ninyi nyote ni mapubavu tu.
Umeanza vizuri ukamaliza kipumbavu
 
Kama side effect ni kuganda damu na kufa so tutegemee nchi zilizochanja raia wake kubaki mashamba matupu na mahame?
 
Moja ya hoja za hovyo kabisa. Wewe kama unaogopa kufa kwa Corona ni wewe nenda kachanjwe. Hoja alizotoa Bishop Gwajima zinamashiko, taifa haliwezi kufanyiwa majaribio aisee tumekuwa manyani sisi. Thubutu
Taratibu muumini wa uzima na ufufuko. Chanjo ni mhimu endapo itaonekana balaa limezidi. WHO ndo chombo pekee kitakachothibitisha ama chanjo itumike au isitumike. Binafsi nitachanjwa bira shuruti, kabla ya kuchanjwa nitaacha maelekezo kwa ndugu zangu juu ya uwezo wa bishop Gwajima wa kufufua wafu. So endapo damu ikiganda nikifa muujiza wa ufufuo na uzima utanihusu.
Na log off.
 

Bado hujaeleza sababu za kisayansi kwa nini tunapaswa kumpuuza mbunge Gwajima.
 
Kama side effect ni kuganda damu na kufa so tutegemee nchi zilizochanja raia wake kubaki mashamba matupu na mahame?
Mkuu mpaka sasa watu wengi wanakataa kuchanjwa,ila taarifa hii hazitolewi,wanaficha ili wasi-encourage watu kukubali hiyo chanjo.

Halafu wengi waliochanjwa wanakufa,usijidanganye.Deaths and other side effects start from day one,ila maximum life expectancy ya mtu aliyechanjwa ni 3 yrs only according,to a former Pfizer scientist Mike Yeadon.
 
Sasa kama wanakataa na taarifa hazitolewi. Wewe umepata wapi taarifa kiongozi wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…