#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Huyu kanisani kwake amekua akiwadanganya waumini wake kwamba hufufua wafu na wapo wanaomuamini, unategemea nini kimemkaa kichwani kwake "uongo"
 
Wewe ni mmoja kati ya wale misukule wa Askofu Gwajima, wale wamepigwa brainwash na Gwajima hawasikii la mtu. Nendeni mfamfufue Mwendazake si Kanisa lenu linaitwa "Ufufuo na Uzima"
 
Hayo ndiyo mnafundishwa na Askofu Gwajima, porn star na drug dealer.

Wewe unajuwa CV ni nini?
 
Yaani bado watu wanamfatilia John Sinns wa Bongo! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Kabisa mkuu. Hili swala la vaccination mimi ni Big NO.
 
mm nakupinga wewe, Gwajima amezungumza sayansi. Nyie ndio mnapotosha ukweli halisi.kama hukumuelewa uliza tukudadavulie mwananchi. Gwajima yupo sahihi sana, tukatae ujinga huu wa chanjo. ije iwe kwa hiari tu kuchanjwa ili wale wageni na wanaosafiri kwenda nje ndio wawe lazima kuchanjwa.
 
Uko Marekani wewe,unaamini taarifa unazoletewa na wauaji wako,are you stupid?Umekuwa mjinga kiasi hicho!Soma script ifuatayo uone jinsi wanavyowaongelea watu kama ninyi.They call you stupid,idiots and they further say you are taking yourself to the slaughter house,can you imagine that,na bado mnang'ang'ania,tuwaiteji?Ushahidi uko wazi,people are dying after receiving the shots,are you zombies?Jamani tuwasaidije?

 
Kwa mwenye akili Gwajima katoa ushauri mzuri sanaa ila kwa wanasiasa mbuzi wanaona jamaa kaongea siasa
 
Huyu mtoa mada ana ugonjwa wa siasa mkuu ila Gwajima katoa ushauri poa sana kwa wenye akili, binafsi sitachanjwa mpaka niwe na hakika na hayo machanjo yao
 
Kama mnataka Chanjo unaweza kwenda nchi jirani ukachanjwe. Usitutishe na vimaneno2 sisi siyo watoto, beba familia yako/ukoo wako kama nao wanaakuli kama yako mkachanjwe lakini usitushawishi.
 
Kwa mwenye akili Gwajima katoa ushauri mzuri sanaa ila kwa wanasiasa mbuzi wanaona jamaa kaongea siasa
Uko sahihi kabisa mkuu.Unajua,adui zetu wamechomeka watu wao sana kwenye system yetu,na hao ndio wanao-tupotosha na tusipokuwa makini tutafanya maamuzi ya kijinga ambayo yataharibu kizazi chetu na vizazi vingi vijavyo.Tuko kwenye kipindi nyeti sana na kigumu,tukifanya makosa kidogo tu,tumekwisha..
 
Wewe ni mmoja kati ya wale misukule wa Askofu Gwajima, wale wamepigwa brainwash na Gwajima hawasikii la mtu. Nendeni mfamfufue Mwendazake si Kanisa lenu linaitwa "Ufufuo na Uzima"
Gwajima can never brainwash me, forget.Mimi niko informed zaidi yake.Kwa taarifa yako nime-specialize kwenye Virology.Yeye ametafuta tu taarifa,sio specialist.
 

Ujinga katika post yako ni hiyo sentensi ya mwisho!! Ndio tulipokwama kama taifa - tunapenda vitu tusivoshulika navyo. Taifa hili halijawahi kuwa na uwezo wa kununa chanjo yoyote na kweli list ya kupewa zipo hata dawa za ARV.

Wasiwasi haujawahi kuipinga sayansi. Badala ya kusema mambo ya kufikirika, fanyeni tafiti mtoe matokeo ya madhara ya hizi chanjo!! Sio kusubiri wengine wafanye halafu uje kusema mwishoni ......”sisi ni nchi masikini, tusaidiwe.....” na watakaotakiwa kusaidia ni hao hao mnawaita mabeberu, hawawapendi kila siku!!!

Vita ya covid ni ya kidunia, tushiriki. Kama ilivo vita yoyote - kuna wengine wachache watakufa!! Huwezi kutaka vita ya kutopoteza hata mtu mmoja!! Kuchelewa kwetu kushirikiana na dunia maana yake sisi ndio tutakuwa wa mwisho pia kuiondoa. Na kama hata barakoa tu tulipuuza, unadhani chanjo tunazozibeza ndio watu watasungwa??
 
Hizi taka taka zako unaona umeandika pointtttt....

Kwahiyo km india wanakufa kwanini na hapa wasife hivyo mbona tunajazana viwanjani na hatufi ..

Low iq ndo shida yako huwezi kufikiria km wewe unagelezea ili upate cha kufikiria yaani wewe ili ufikirie lazima uangalie wengine wanafikiriane.


Kwahiyo km india wanaume wameanza kuolewa na wewe utaolewa ili usionekane upo tofauti na ulimwengu?Huwezi ukafikiria kwa akili zako binafsi ukaona hali iliyopo india haipo tanzania?
 
aya mjanja
 
At most unajuwa kuandika matusi tu lakini huna point. Hicho kipeperushi kinatujazia servers tu. Rubbish
 
At most unajuwa kuandika matusi tu lakini huna point. Hicho kipeperushi kinatujazia servers tu. Rubbish
Nenda Freemason wakakutoa kafara, maana kibarua kimeota nyasi Tanzania.
 
Mwanzo wa uzi tu ulivoanza ku attack mtu badala ya fact nikaacha kuusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…