#COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

Nak
Ninachokiongea ninakifahamu wala sipotoshi...ninavosema kuna studies zimelink matatizo ya ASD na chanjo tofauti tofauti, siongei kwa kuotea.. one of the biggest advocates against haya mambo ni Robert Kennedy Jr,aliwahi kukusanya wamama zaidi ya 20 wenye watoto wenye ASD kwenda kwa then president-elect Trump walitaka kuishtaki kampuni moja iliyowafanyia trial za chanjo wakisema imewaletea watoto wao matatizo..ilipoishia sijui...Studies zipo sema wanasayansi wengi hawapendi kusikia na wanasema zimekua debunked with the help of the media,they suppress them as myths...Ni kama kipindi kuhusu mambo ya Hydroxychloroquine kwenye kutibu corona, kwa ikitumika mapema kwenye wagonjwa wa covid inaweza ikasaidia,,ilipigwa vita sana lakini baada ya kupata chanjo ndo wakaanza kusema studies zilikua na Ukweli..so haya mambo kwa sababu either ya siasa au biashara hua yanasababisha taharuki ya kutokueleweka....
 
Kweli lakini ninachoomba kuwe na open dialogue bungeni,tue skeptical kidogo,kuna watu humu walikuja spidi na kumuita mcheza porno, baada ya kumjibu hoja yake.hofu yangu ni hizo side effect zikitulipukia sisi hapa ,hakuna mtu atakayetusaidia..mi binafsi nina watu wengi nawajua wako fine baada ya kupokea covid shots, kuna wagonjwa wangepona hii chanjo ingekuja mapema, na pengine kuna watu watakufa baada ya kupokea hii kitu..Hizi serikali zetu ziko ki-statistics zaidi, watu 20 kati ya milioni wakifa baada ya kupokea mzigo ,watasema hyo ni success rate kubwa, mimi hofu yangu ipo kwa sisi/hao 20..ninachopendelea ni kila mtu apewe hasi na chanya ya kitu,sio kupinga tu kwasababu za kisiasa
 
Percentage waliopata complication ni insignificant. Kwa baadhi yetu hata panadoli inasababisha side effects. Msipotoshe Watanzania.
Ukisema insignificant , una maana gani, kwahiyo maisha ya mtu ni insignificant!! Kwani ku-exercise caution kwenye hii kitu ni kitu kibaya...
 
Corona inajua wapi pa kupiga
Sasa Maalim seifu masikini wa Mungu imempiga kwa lipi hebu tueleze? au ndio kwa sababu alikubali kile cheo cha Makamu wa kwanza wa rais?
 
Kawadanganye wanao na mkeo na shemeji yako.

Sisi watanzania tutaipata hiyo chanjo wewe kama hutaki utakwenda na mwera tu maana hauna faida kwa taifa.
Watanzania au watu wa mitandaoni? nyie hata kwenye maandamano mnasemaga hivyo hivyo ila siku ya tukio mnasikilizia raia huko mitaani ambao hata hawakuwa wanashabikia siasa matokeo yake ndio tunaona raia wanaendelea na shughuli zao, sasa pia mtasema chanjo zije halafu zikija msitokee kudungwa.
 
Percentage waliopata complication ni insignificant. Kwa baadhi yetu hata panadoli inasababisha side effects. Msipotoshe Watanzania.
Kwani side effects za hizo chanjo wameeleza ni zipi au ndio tutajua wakati zinaendelea kutumika? Maana hili la kuganda hatukulijua ila baada ya kuanza kutumika.
 
Mkuu binafsi nimeuliza ASD TZ ipo au haipo na Kama ipo ni kwa sababu ya chanjo ya corona , elewa Covid vaccine inaweza kua risk factor ,Kama tuonavyo kuvuta sigara ni risk factor ya kupata cancer ila sio wote wenye cancer ni wavutaji wa sigara, zipo sababu zingine, Hivyo that's mpaka Sasa tz au dunia haijapiga marufuku uvutaji wa sigara Kama ilivyo madawa dawa ya kulevya, kwa iyo kinachopimwa kwenye matibabu yoyote ni faida kubwa kuliko madhala madogo maana hakuna dawa,au chanjo usiokua na madhara, ila kiwango Cha madhala ndo kinaangaliwa kikiwa kikubwa inakua haifai maana ni sum na mamlaka haziwezi ipitisha so mpaka mda huu Kama covid vaccine imepitishwa vigezo vimezingatiwa ,serikali tuletee tujidunge tulinde na wapendwa wetu
 
100%TRUE SAID MKUU!

Wengine humu kazi ni kuendekeza siasa za Makundi bila kufikiria maisha ya vizazi vyao siku zijazo. [emoji1241]
 
Huyo mbona siyo wa kuhangaika naye mkuu ikiwa anajfanya mfufuaji na akashindwa kumfufua mtu anayejfanya kumpenda mpka kawa mwenda zake sasa kuna kazi hapo
 
Naomba with all due respect nikuambie kweupe kwamba wewe ndiye hujui kinachoendelea duniani,na siajabu umetumwa hapa na mabwana zako,the NWO cabal,kupotosha wana JF,Watanzania na dunia kwa ujumla.Alicho ongea Gwajima ni 100% correct.

Ili tujue kama wewe kweli unajua the science behind C-19,tuwekee CV yako hapa tuione,ili tujiridhishe kwamba kweli una utaalamu unaotakiwa kuongelea kuhusu C-19,otherwise wewe ni conman tu kama akina Bill Gates,Anthony Fauci na Director General of the WHO,
Tedros Adhanom
and you should shut your beak.After all Tedros Adhanom alipaswa kupelekwa the Hague for genocide of his fellow Ethiopians through hunger.It is funny that you are identifying your self with such genocidal beings and psychopaths.

Mkuu usijidanganye kwamba Watanzania wote ni mbumbumbu,some of us are scientists indeed,independent and uncompromized,na tunajua that fake science has been used to bring about the lockdowns,social distancing,face masks,sanitizers ectc.,which are all genocidal tools.Wewe I believe ni parot tu,you are singing a song which you are completely ignorant about,a song which you do not know the words of.

Mkuu inaelekea hujui what the so called C-19 is,you are so ignorant.C-19 is a Microsoft Windows 666 mRNA Operating System intended to make humans Zombies.Kama unajua maana ya 666 utaelewa kwa nini Dr.Gwajima is against it.

Soma hii👇,labda akili itakuja na utajua why most uncompromized scientists are against the C-19 shot.





Nakushauri pia strongly ufuate master link ifuatayo,if you are an independent thinker and uncompromized,I believe you will change your stance with regards to C-19.Please take time to read it.


 
Sasa Maalim seifu masikini wa Mungu imempiga kwa lipi hebu tueleze? au ndio kwa sababu alikubali kile cheo cha Makamu wa kwanza wa rais?
Huyo unamjua wewe MATAGA wa lumumba na mwana sukuma gang
 
Mbwa nyie mnadhan mkipigwa hizo chanjo nini kitabadilika? Hamna akili mnashindwa hata kufikiria vzur, wawatengenezee chanjo nyie mna umuhimu gan kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…