Huyo unamjua wewe MATAGA wa lumumba na mwana sukuma gang
Wape vidonge vyao hao,wajinga kabisa.Hii mijitu au inalipwa,au imejaza makamasi vichwani mwao.Washenzi kabisa.Mbwa nyie mnadhan mkipigwa hizo chanjo nini kitabadilika? Hamna akili mnashindwa hata kufikiria vzur, wawatengenezee chanjo nyie mna umuhimu gan kwao?
😀Kashindwa kumfufua mteuzi wake itakuwa wewe jirani yake?
Washenzi ni mamako na babakoWape vidonge vyao hao,wajinga kabisa.Hii mijitu au inalipwa,au imejaza makamasi vichwani mwao.Washenzi kabisa.
Ni mbumbu kuhusu swala la C-19 mkuu.Hapo ndipo ujue Watanzania wengi ufahamu wao ni mdogo sana,kwa hiyo ni rahisi sana kuingizw mkenge.Tujipe pole kwa kweli,tutalishwa pumba mpaka tukome.Naona wachangiaji wengi wanamshambulia Gwajima badala ya kushambulia hoja zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tayari unakula pumba kila siku kama kuku wa kizungu anakulisha mtengeneza chanjo?Ni mbumbu kuhusu swala la C-19 mkuu.Hapo ndipo ujue Watanzania wengi ufahamu wao ni mdogo sana,kwa hiyo ni rahisi sana kuingizw mkenge.Tujipe pole kwa kweli,tutalishwa pumba mpaka tukome.
Na mimi ndio nimemwambia hivyo hivyo, tutampuuza vipi mtu ambae umeshindwa kupangua hoja zake hata moja?Mimi Naona hujajibu hoja,ame-quote data halali kabisa,hivi unavocheza na DNA Unajua madhara yake...Unajua kitu kinaitwa 'autism',hii kitu watoto wengi uzunguni miaka ya karibuni wanazaliwa nayo,na there is a strong link na vaccinations walizopitia wazazi wao,hata babu na bibi zao..Hebu tuache siasa ktk kila kitu..Iq zetu zenyewe ndogo,Hivi tukichezea dna si tutakuja kuzaa wadumavu kbsa..
FDA na CDC wanasema chanjo hizi zipo kwenye trial mpka 2023,kwanini tusisubiri wamalize majaribio yao...
Mimi ushenzi wangu ni upi,lete hoja.Wewe ushenzi wako ni kutetea ushenzi wa C-19 shot.Washenzi ni mamako na babako
Wewe ni mshenzi kwa sababu unatetea mawazo ya kishetani na unaonekana unashiriki mambo ya free mason .Mimi ushenzi wangu ni upi,lete hoja.Wewe ushenzi wako ni kutetea ushenzi wa C-19 shot.
Hatukatai sio nabii, pia ni mwizi tumekubali, ila sasa, jibu hoja zakeNabii gani kibaka wa kura!! Ni wa kusamehe bure.
Na kama unakubali na kuunga mkono mawazo yake basi nawewe ni lucifaHujatupa sababu ya msingi kwa nini tumpuuze.
Ni tapeli hatukatai, ila sasa, jibu hoja zakeNi tapeli hivyo ni lazima awe mambo ya kitapeli. Nawahurumia waumini wake anaowapora sadaka kila siku na kwenda kula na wanawake kwa kufanya ukahaba huku akijirekodi.
Hakuna mtu msafa anayeweza kujibu hoja za lucifaHatukatai sio nabii, pia ni mwizi tumekubali, ila sasa, jibu hoja zake
Mimi sili kuku wa kizungu,nakula wa kienyeji mkuu,kwa kuwa najua mtengeneza madawa ndie huyo huyo anayetengeneza chanjo zote,hata hii shot ya C-19.Mbona tayari unakula pumba kila siku kama kuku wa kizungu anakulisha mtengeneza chanjo?
Hana akili, tumekubali, ila sasa, jibu hoja zakeHuyu askofu ana akili kweli? Hajui kama 'wakomunist'na 'wajamaa' rafiki zetu vipenzi China na Urusi wana chanjo? Kama tatizo ni Ulaya kwa nini hajashauri tukazifate huko. Kama anakataa au tunakataa tukatae kwa sababu ya nyingine sio tu kwa sababu zinatoka Ulaya.
WHO iko chini ya influence ya China, ndio maana Trump alijitoa.
Twendeni kwa fact tuache mentality za kishamba, mbona boss wake wachina walikuja kumchanja kule kijijini
Anayekubali hoja za kishetani kama hizo basi naye ni mtumishi wa lucifaNi tapeli hatukatai, ila sasa, jibu hoja zake
Kama hamuwezi kujibu hoja zake, kwanini msikae kimya hoja ipite? Regardless ni za Lucifer au za malaikaHakuna mtu msafa anayeweza kujibu hoja za lucifa
Una sifa zote za lucifaMimi sili kuku wa kizungu,nakula wa kienyeji mkuu,kwa kuwa najua mtengeneza madawa ndie huyo huyo anayetengeneza chanjo zote,hata hii shot ya C-19.
Kwakuwa na wewe ni lucifa wacha nikukimbieKama hamuwezi kujibu hoja zake, kwanini msikae kimya?
Hakuna aliyebisha hayo, ila sasa, jibu hoja zakeKawe ni jimbo pekee lenye wabunge wawili.
Kiongozi wa Covid19 a.k.a shangazi Halima na mzee wa video za kikubwa Sheikh Askofu Rashid a.k.a mfufuaji.