Tumuombee Legend Pele katika safari yake ya kupumzika kwa amani.Yupo "PALLIATIVE CARE "kwa sasa

Duh....Tumuombee tu...
 
Pele sasa asipate nafuu.

Ni bora apumzike kwa sasa..alale kwa utulivu.

Kansa inatesa sana. Nafuu yenyewe ni ya maumivu makali tu. Apumzike Legend.
Halafu cancer yake imesambaa,kutoka utumbo mnene(Colon)Sasa kuka metastases kwenye utumbo mwembamba,mapafu na kwenye Ini.Ni mateso kwa kweli. Hapo itakuwa wanamuwekea morphine kupunguza maumivu. Mungu amsaidie tu huyu mzee .
 
Wametaja kumbe?Mimi nilijua uzee kumbe bibi alikuwa na cancer ?Why walificha sasa ?
Last week waliweka program kuhusu maisha yake na Autobiography na walioandika maisha yake
Kwa mara ya kwanza wakasema ukweli kuwa alikuwa anasumbuliwa mwaka mzima na cancer ya mifupa

Hawakutaka watu wajue mwanzo ila wamesema
 
Maishaa n vyenyee vile unaishii budaa,au kunanyongezaa ya maishaa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Kansa inasababishwa na nini wazee, halafu hapo in ana hela sasa wenzangu na mm so ndo unafia hapo kwenye kordo
Cancer ni pale cell zinavyokuwa ndivyo .Kunakuwa na abnormal cells zinasababisha tumors na wakati mwingine kunakuwa na metastasis. Sababu zinazosababisha mvurugano katika mfumo wa cell ni nyingi kuna zingine ni genetically na zingine ni external mfano kuvuta sigara n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…