Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio wametaja sababu za kifo, sio natural death kama walivyoiambia Dunia mwanzokifo ni Cha ajabu sana.malikia na utajiri wake wote ameashindwa kuzuia asizeeke Wala kufa.
Ukifikia mda huo na umri huo, iliyobaki ni kuomba mwisho wako tu wala hupendi tena kuendelea kutaabikaSijui atakua anawaza nini wakati huu ambao anajua fika ni muda tu umebaki atwaliwe.
Umetumia busara kubwa sanaHands up!.
You've won!. Maana unachotafuta ni ligi. Tutaishia kuubadili upepo.
Duh....Tumuombee tu...Legend Pele kahamishiwa Palliative care unit. Yaani huku mgonjwa hulazwa endapo curative care haiwezekani tena. Palliative anapewa dawa za kupunguza maumivu tu,huku akisubiri siku ya kurudi kwa Mungu ambayo haipo mbali sana.
Almost itakuwa before January.
Tumuombee Pele ,maumivu ya cancer si mchezo.
Halafu cancer yake imesambaa,kutoka utumbo mnene(Colon)Sasa kuka metastases kwenye utumbo mwembamba,mapafu na kwenye Ini.Ni mateso kwa kweli. Hapo itakuwa wanamuwekea morphine kupunguza maumivu. Mungu amsaidie tu huyu mzee .Pele sasa asipate nafuu.
Ni bora apumzike kwa sasa..alale kwa utulivu.
Kansa inatesa sana. Nafuu yenyewe ni ya maumivu makali tu. Apumzike Legend.
Kifo hakichagui mgonjwa au mzima,kijana au mzee,anaweza akafa mtu mwenye afya yake kabla hata ya kifo cha Pele,kila kiumbe hai ni mfu mtarajiwa,anytime unaweza kufa.Sijui atakua anawaza nini wakati huu ambao anajua fika ni muda tu umebaki atwaliwe.
Last week waliweka program kuhusu maisha yake na Autobiography na walioandika maisha yakeWametaja kumbe?Mimi nilijua uzee kumbe bibi alikuwa na cancer ?Why walificha sasa ?
Maishaa n vyenyee vile unaishii budaa,au kunanyongezaa ya maishaa!!!Maisha ni nn? [emoji26][emoji26] Nina hakika kwa umri hata wa miaka 100 mtu unakuwa hoi na kujiandaa kufa ila ukiangalia dunia ndo kwanzo inaendelea kuwa advanced ,lakini wewe mda wako unakuwa umefika kikomo.
Tunaondoka tukiwa bado tunahitaji kuishi.je Maisha n nn haswa?
Hakuna nguruwe yoyote toka argentina anaemfikia pelle the true king10.Mchezaji bora wa tatu wa muda wote baada Messi na diego armando Maradona
Maishaa n vyenyee vile unaishii budaa,au kunanyongezaa ya maishaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeandikwa Buda kila nafsi itafanyajee????Ndo ivyo tunapita tu hapa duniani.
Cancer ni pale cell zinavyokuwa ndivyo .Kunakuwa na abnormal cells zinasababisha tumors na wakati mwingine kunakuwa na metastasis. Sababu zinazosababisha mvurugano katika mfumo wa cell ni nyingi kuna zingine ni genetically na zingine ni external mfano kuvuta sigara n.k.Hivi Kansa inasababishwa na nini wazee, halafu hapo in ana hela sasa wenzangu na mm so ndo unafia hapo kwenye kordo
Itaonja umautiš„š„. Tuenjoy tu life mpaka tumalize muda wetu.