Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #201
Kama unataka kila unayepingana nawe afungiwe basi atafungiwa kia mtu humu.If moderators hamuwezi kumfungia huyu punguani na mada zake za uchochezi?
Kila akijamba ni udini,
Fungieni huyu mpuuzi anayeangalia jina la mtu kujua dini ya mtu.
Hajui kuna jamaa yangu Hamisi Khalfani ni mgalatia na kuna Jesse Joseph ni mjahidina.
Ndugu acha upuuzi.
Najua unatumwa na wenzako wa ndani ya sistim
Kwa hiyo mtu akianzisha mada kulaani teuzi zilikzokaa kikanda utataka afungiwe?
Kama mtu akianzisha mada kuhoji teuzi zilizokaa kikabila utataka afungiwe?
Kama mtu akianzisha mada kuhoji teuzi zinazobagua wanawake utataka afungiwe?
Kama hayo yote huwa hamuoni tatizo kwenye mada zinazoyahusu, kwa nini buwa hampendi mada zinazohoji teuzi zilizokaa kidini? —Au mnanufaika na mfumo wa aina hii kwa hiyo hampendi uhojiwe?