Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

You’ve said it well mkuu. NGO ya mzee mtei inaongozwa na majambazi makubwa. Can you imagine mbowe anapanga mikakati ya kuua viongozi.
 
Huwezi nilinganisha na msaliti mbowe, gaidi kabisa lililodakwa likasamehewa na DPP tena siku akija rais mwingine lazima lifungwe maisha au kunyongwa kabisa gaidi kubwa. Sasa limelamba asali domo limezibwa kabisa utamu utamu tu wa asali hahahaha.
Kua mjinga sio sifa.
 
Viongozi wa chadema ni wapumbavu sana ,wanahamasisha maandamano Tanzania huku watoto wao wamewaficha Marekani.
 
Sisi ni mahodari wa kupiga mikwala mitandaoni [emoji1]

Ova
 

Sorry nimesoma nimeishia hapo kuwa walijilipua wenyewe. Question serikal iko wapi au serikal haina uwezo wa kujua na kuwafungulia mashtaka? Ww ulishawafungulia mashtaka?
 
Hopeless creature.
 
Kwanza hao kina Mbowe na Lissu Wana roho ngumu asee!!, Kupigania wajinga ni laana, watu wasiozijua haki zao unawezaje kuwapigania ukashinda??.
Na wwe kweli bado hujakomaa akili,toka lini hao kina Mbowe wakipigania watu zaidi ya kupigania matumbo yao pamoja na familia zao huko Ulaya!!?
 
mamako alishawahi kufungwa hata mwez akipigania watu, mbowe kaa kimya usihangaikie mapumbavu yenye id fake mitandaon
Mbona una hasira wakati anae lamba Asali ni Mbowe na Lissu! Wanajifanya wanakaa vikao vya maridhiano kumbe wanapenyeza shida zao Rais awapige tuff kwenye Malipo yao ya kimchongo!!
 
Mpinzani wa kweli ni Bashiru,Mbowe ni mfanyabiashara tu, stuka wwe Kolongwe unapigwa mchana kweupe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…