Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
No sio kuwa vegetarian ni kufunga kwa siku tatu badala ya kutokula kawaida wala matunda na vegetables at least two or three a months, it'so helping katika kupunguza mwili na kuondoa accumulated toxins which are always endup to be converted to organic fattyIs not easy at all...
Kuwa vegetarian tena?
SI wadau wanasema protein sio mbaya
Sawa sister tayari nimeshawanunua wako vizuri sana. Ila nahitaji nyongeza tu huko mbele namna ya kuwalisha na mambo mengine. Kuna Uzi mmoja wa ufugaji mbwa ukipita hapa,jamaa anaelezea hata namna ya ile asubuhi mazoezi yao,kuna vimpira vyao pia vya kucheza cheza. Vinginevyo utakuta wameng'ata ng'ata tyre asubuhi.Ukiffanikiwa nijulishe
By the way two avocado can give you the same amount of protein you need for a day or twoIs not easy at all...
Kuwa vegetarian tena?
SI wadau wanasema protein sio mbaya
Ahahaaaa....! Hao ukiwaachia watoto home,hesabu maumivu. Halafu wana timing hatari. Hao hapana mkuuHao hao !
Wale mbwa hawana mwenye mbwa ,mgeni , wala adui ,si rafiki kwa mazingira yetu
ukifanya diet mwili lazima upungue ukiona umegoma ujue metabolic rate yako iko chini sana au unamatatizo ya kihomoni, lakin kama ni mzima fresh futata utaratibu nilio kwambia mwili unaishaHAhahhaa tell me about metabolic error,nahitaji kitu Cha kushusbua lawama huu mwili
ujue protein inafanya kazi mpka iwe complete,,?By the way two avocado can give you the same amount of protein you need for a day or two
Pole sana kwa kuibiwa.
Kuna aina fulani ya mbwa brother usifuge.
Unamaanisha organic protein from fruits sio complete?ujue protein inafanya kazi mpka iwe complete,,?
sidhaniUnamaanisha organic protein from fruits sio complete?
wanyeramba hawaMwili kama huu unahitaji mazoezi gani
View attachment 2646408
Nina marafiki kibao kwao nyama hawali wanapata wapi protein, and their healthy more than average meat eaterssidhani
hao protein wanaipata kwa kufanya donation hamna tunda lenye all essential amino acids?Nina marafiki kibao kwao nyama hawali wanapata wapi protein, and their healthy more than average meat eaters
Huo mzuri japo possibility ya kuongezeka ni kubwa 😑Mwili kama huu unahitaji mazoezi gani
View attachment 2646408
Maana nawaona wengi miili yao ni ya kawaida kabisa utadhan hawali uzaziYaaani achana na hao viumbe wakuitwa wasaniii...WA hapa bongo wamenenepeana hovyo na wengine wanaingia kwenye misugery..
WA mbele huko kina Kim huko wanapiga "mummy make over" surgery za kutosha bro....sio hao watu....wachache sana haswa wazungu piwa wanakula zoezi Kali....ila mablack wanapiga masajar hatari
Im vegan bro no dead meat in my body and im healthy no hospital no nothing, plus i was alcoholic addict and i bit the hell out out of it just by turning to a veganhao protein wanaipata kwa kufanya donation hamna tunda lenye all essential amino acids?
anyway umejuaje kama wana afya??
Taja mmojaMaana nawaona wengi miili yao ni ya kawaida kabisa utadhan hawali uzazi
Mkuu tupe shule...jamaniIm vegan bro no dead meat in my body and im healthy no hospital no nothing, plus i was alcoholic addict and i bit the hell out out of it just by turning to a vegan
Akizaa huyu anajua bonge ila ana asili ya shape nzuri haitaharibikaMwili kama huu unahitaji mazoezi gani
View attachment 2646408
NandyTaja mmoja