Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

Wale wenzetu hawali kutwa mara 3 kama sisi. Na mm nimeanza hiyo campaign. In African context, especially Tanzania watu wanakula katika mifumo ya fixed table... Hawa wakati wa kushauriwa usi'ignore' tamaduni yake
 
Nina uzoefu wa mtu wangu wa karibu hapa, she's shed a lot of weight na sijamuona akikimbia hata mita moja wala situps wala nini.

Nidhamu ya kula, binafsi siwezi kujinyima kula, jinsi anavyokula sitaweza katu, labda iwe condition toka kwa wataalam wa afya.
 
Mazoezi ni muhimu sana, ila ya kufanya mwenyewe peke yako hutoboi
tafuta kampan
pia vyakula tafuta mshauri mzuri
 
Tofari ,niache kura na wari
Waweza kuendelea kula, ila hakikisha nakuwa mchana zaidi, na sio mlo wa usiku.
 
Meek mill ft. Davido fans.
David Guetta Jason derulo say good bye.
Oxlade - Incomplete + Want you
Young lunya - freestyle session 2
Country wiz kaligraf jones- wanaona haya
Hasan mapenzi - sio poa
Drake -best I ever had
Jason derulo faruko -mamacitA
Ckay -trumpets
 
mzee fanya gym subscription tu huna namna

hii ya nyumbani sijui sit ups and other blah blah hakuna lolote utapata

issue ni kwenda gym na kufanya kazi hasa kama maisha yako really depend on it

kama una kakipato home kwako weka gym kabisa na swimming pool,na kama space ni kubwa zaidi weka two in one basket court na tennis duo.

baada ya hapo basi

hizi sijui nimekimbia kidogo road,siku utagongwa na gari,ingia gym kabisa ufanye kazi kwa 60minutes hasa,no cheating!
 
hii mambo ya kukimbia mabarabarani aisee kwa nchi zetu za Africa ni hatari

pili sio sustainable

na pia gym subscriptions in a long term ni ghali na sometimes logistics ni issue

issue ni ujenge home gym with all equipments,unaanza na vya muhimu kwanza

hapo kutakua hakuna excuses

mabarabarani huko ni uduwanzi full kuonekana ,hata siku ulikula kicheche ghafla kinakuona road...hahahaaa

road za bongo hazina special spaces za jogging,utagongwa tu one day na bodaboda kichaa!
 
Mimi sikimbii barabarani kbsa.... Kwanza spend watu wanione nafanya mazoezi... Nakimbia hapa karibu na kwangu kuna mlima na sio barabara insyopita magari..

Afu kuweka vifaa vya gym, unazani tuna uwezo huo ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. pesa ya kula tu shida
 
Naomba nisajestie walau aina tatu ya milo
Ktk ratiba yako usiache mtindi
Unasaidia sana kwenye digestion
Mchana unaweza kula mtindi na ndizi mbivu inasaidia sana kupata choo kubwa ambayo ni mkusanyiko wa chakula
Kuna mtu alinishauri nitumie jagamaster 😛inakata mafuta kwa haraka🤗
 
Sasa na huo ufit wako ulishindwaje kuwadunda hao wezi🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtindi kumbe unalainisha mambo eeh
 
Ni kweli kabisa, Mimi naweza toa ushuhuda kuwa nimeanza mazoezi nikiwa na miaka 23 na sasa Nina miaka 40, si kwamba nafanya mazoezi kila siku hapana Ila mazoezi ni part of my life. Nikivaa uniform unaweza sema ni mwanafunzi. Sasa turudi kwenye kula Mimi mtu akinifuata chakula nnachokula wakati amepotea kabisa. Mimi ninakula hatari Ila mwili wangu uko vilevile kwa sababu mazoezi ndo maisha yangu. Na kitu kingine kinachonisaidia situmii kilevi vha aina yoyote. Napenda Sana chai na pia natumia asali kidogo. Na kwetu utaratibu ni kwamba juice haiongezwi sukari no matunda yenyewe tu. Tuwe wakweli mazoezi ni muhimu Sana kwa afya zetu. Japo nunua kamba itakusaidia. Na pia misosi hapo pia ni sumu kubwa.
 
Mbona unakula Sana Tena vyakula vyenyewe vingi carbohydrates.

Ni suala la muda tu utaumuka
 
Hamna lolote ishu ni kutokula sana mazoezi ni ziada tuu ata ya nyumbani yanatosha na hamna shida ya gym.
Unataka dada wa watu akaliwe na treinaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…