Uchaguzi 2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

Kwa taarifa yako JPM haitaji kikura chako ki1...tena cha masimango

eti unajikomba kajenga ma-flyover kama ya Japan,Dubai na USA

mara maUbungo exchange ya hatariii

*weka na namba ya simu,maana atakupigia ukamwonyeshe hizo flyover za Dubai na exchange za hatari zilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa maji upunguze stress!
 
Sijamaliza kutaja mafanikio ya JPM, kwa mfano, Meli sijataja, kubadilisha Dodoma bado, Musoma nimeona traffic lights haijawahi kuonekana. Unaona!!!.Lazima nirudi
Sasa si umeshataja?Hizi dawa ni kuwachongea kwa mods hizi nyuzi ziunganishwe!Ngoja nianze!
 
Ahsante, tukubaliane tu kwamba JPM ni noumer, habari za namba achana nayo
 
Sijamaliza kutaja mafanikio ya JPM, kwa mfano, Meli sijataja, kubadilisha Dodoma bado, Musoma nimeona traffic lights haijawahi kuonekana. Unaona!!!.Lazima nirudi
Mkuu uko vizuri. Itunze tu hiyo kura! Oktoba, 2020 sio mbali. Ukichukulia kuwa Wapinzani watasusia uchaguzi, 1000% Rais, Wabunge na Madiwani ni kwa CCM tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…