JalfMoney
JF-Expert Member
- Feb 19, 2019
- 739
- 1,148
Tanzania wajinga ni wengi mno. Mimi siwezi kuabudu ,kutukuza au kumdifia binadamu wenzangu hata awe na nini, Hiyo nimekataaKuendelea na nini?Si umeshamwambia aje achukue kura?Sasa unataka utujazie server kwa lipi?
Nways nauona mwendelezo wa kuabudu,weka namba ya simu!