Unapata faida gn au una matatizo ya sirini?Ngoja tujipongeze mwaka unaisha hivihivi kama utani ujawahi fumania naniliu hata mara moja wala kuwa kwenye mahusiano
Natumai mwakani kutanoga zaidi kwetu Neema itatuangazia [emoji17][emoji4]
Nadhani faida ya MAHUSIANO sio ngono tu, Je hujisikii mpweke kuwa single hakuna mtu anayekupa attention kutwa nzima.Hivi Mkuu kwamaana hiyo huwezi kuishi bila ya sex?
Ni kuamua tu, wala si tatizo kama wewe ulivyoamua kuwa na mpenzi. Basi nasisi tunaamua kuwa single na bila kusex.
Humu wengi mnapenda sana ngono, ndiyo maana uzi wa ngono unafika hata wachangiaji 1000.
Mwigulu is Typing....[emoji23]Mara zote sisi ma houseboy wa mawaziri ndio huwa tunawabikiri mabinti zao, na wazee wakienda Dodoma au ziara nyingine pia humfariji mama.
Nitakupa tender care usijali.
Ndimi houseboy wa Taifa
Mkuu, kweli hulitendei haki hilo shape la kibantu, lakini pia hututendei haki sie wapenda mashepu ya kibantu🤣Tupooooo 👏👏👏👏 hongera kwetu...
Wasikukatishe tamaa Mkuu, Mungu akitupa uhai na mwaka 2023 kama kawa hakuna kufanya.😎
Aisee😳😳Maisha bila sex ni raha sana.No worries. Halafu maskini tu ndo hupagawa na sex. Team Sologamy na asexual gonga thanks. 🥰😍🤗
Mwigulu is Typing....[emoji23]
Majaliwa is Typing....
Nape is Typing......
Kijana tangulia kusiko julikana team ya kukubana izo kengere inakufuata si muda mrefu...kumbe ni wewe ndie unaekula wake wa waheshimiwa hee?[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamani...Kwa Mwanamke Inawezekana kabisa.
Tatizo wanaipa promo mnoooMaisha bila sex ni raha sana.No worries. Halafu maskini tu ndo hupagawa na sex. Team Sologamy na asexual gonga thanks. 🥰😍🤗
Yani wanaonaga kama sex sijui ndo nini yani, mbona fresh tu tena ukikaa zaidi ndio unakua hutamani hata kuguswaHivi Mkuu kwamaana hiyo huwezi kuishi bila ya sex?
Ni kuamua tu, wala si tatizo kama wewe ulivyoamua kuwa na mpenzi. Basi nasisi tunaamua kuwa single na bila kusex.
Humu wengi mnapenda sana ngono, ndiyo maana uzi wa ngono unafika hata wachangiaji 1000.
Namwambia tu hongera zakeMpeni miongozo mleta mada...
Unataka kusemaje Mzee Mwenzangu?Haha, unique flower mimi siwezi kuwa single hata kidogo, sina pesa..basi hata utam unipite pembeni. Furaha ya masikini inatoka wapi kama sio kwenye pombe na/au ngono?
Wangekua na fursa ya kununua Kama sisi wangewekwa Sana,Tatizo tamaduni haziruhusu[emoji4]Halafu Ke wakisema hawajawekwa mda mrefu msiwaamini sana!
Ewe binti, mimi sina usemi hata kidogo. Ila unakosea sana asee🏃🏃🏃Unataka kusemaje Mzee Mwenzangu?
Mwanamke akitaka kuwekwa ni dk sifuri tu, unataka kuniambia mwanamke anaweza pitisha siku bila kutongozwa?Wangekua na fursa ya kununua Kama sisi wangewekwa Sana,Tatizo tamaduni haziruhusu[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app