jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Unasoma ili uje kulilia mshahara...ujinga mtupu!! Unajua kufanya utafiti lakini umeshindwa kutafiti chakukuingizia pesa unang'ang'ana na kodi za hawa maskini wasio na maji,umeme,dawa nk.
Mlitakiwa muombe kupunguziwa mshahara ili msaidie huduma za jamii ninyi msake kimkakati!!
kwa hiyo we unadhani watu wanaongeza elimu ili tu waongeze kipato makazini ..? Kama ni kweli basi nchi yetu ina safari ndefu ili kupiga hatua kimaendeleo...ikiwa wasomi wenyewe wakuwategemea ni wa mtindo wako.Mkuu andaa hela uende ukasome kwani degree zime add value kwenye performance kwa kiasi kipi mpaka Sasa, we unaumia nini kwani umeombwa ww... tafadharini msije mkaanza uchawi huko makazini kusoma nmeshindwa hamtaki wenzenu waongezewe salary
Ninavyojua mimi ukipata masters kwanza unapewa ka 'hongera' kwa kupewa double increment.
Lakini pili, bila kuwa na masters hawezi kupanda cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'
Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiuongozi (mfano meneja au mkurugenzi) kama hauna sifa hiyo ya elimu ya uzamili pamoja na sifa nyingine.
Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
Serikali haipokei vyeti kirahisi hivi...Kuna masters za mwezi mmoja tena za online hapo ndio tutasikia mtu ana diploma mpaka kuwa na master
Sawaa....Elimu ni udhaifu, nambie nitafute hela sio kusoma. Kama masters yako ndo imekuleta kuanzisha uzi wa huu ili mpandishwe mishahara, basi nasubiri siku mpandishwe mulipwe hata milioni 20 per month. Mkuu hakuna mtumishi alitetajirika na kutambulika akiwa mtumishi wa umma. Subiri kiinua mgongo bro. Na shida yenu ni hizo akili zenu za kukusanya vyeti zinawatesa saa hii. Kuna elimu ya darasani na ya mtaa.
Ndyo nchi inaendeshwa na mipango mikakati ambayo huwa ya miaka 5 au kumi ndo tunamalizia then tunaanza safar nyingne...mf. millennium Development goal 2000 - 2015kwa hiyo we unadhani watu wanaongeza elimu ili tu waongeze kipato makazini ..? Kama ni kweli basi nchi yetu ina safari ndefu ili kupiga hatua kimaendeleo...ikiwa wasomi wenyewe wakuwategemea ni wa mtindo wako.
Waongeze majukumu.Je hizo masters tunazotaka zitambuliwe kwenye salary scale...pia zina add value kwenye perfomance ya kazi husika au ndio title tu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee daah hatari sanaaJamaa yangu alipiga masters ya HR mzumbe ,matarajio kibao .Matokeo yake akawa anakunja 350,000/= kwa mwezi.Hapo ndipo kipaji chake cha wizi kikaonekana.Mtu unaiba mpaka mzani?Siku anafukuzwa kazi walimkuta anafungua injini ya pikipiki godown.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijaona kosa lake kachangi uhalisia wa mada...shida umecath feelingsUmeona sasa ulivyo kwani ww Ni jinzia gani aisee ? Achana na kufatilia maisha ya Watu kwani hyo 350,000 yake alikuwa anakuja kula kwako, unatabia za hovyo Sana wewe..kwahyo ulikuwa unamuwinda ili ujue anaishije pumbavu we! Tulia na maisha yako
Asitusumbue sasa nayeye akae na masters yake!! Vi gpa vidoogoKwani ww inakuhusu nini si umuache na masters yake ww uendelee nz kuchomelea vyuma... wivu tu umekujaa
uU wehu umeutoa wapi? Alosema watumishi hawalipi kodi nani? Acha uzumaridiHivi hizi akili za kijinga huwa mnatolea wapi?mtumishi anakatwa kodi mshahara wake tena kwa lazima,bado atachangia kodi kama raia wengine.
Asitusumbue sasa nayeye akae na masters yake!! Vi gpa vidoogoKwani ww inakuhusu nini si umuache na masters yake ww uendelee nz kuchomelea vyuma... wivu tu umekujaa
Hivi hizi akili za kijinga huwa mnatolea wapi?mtumishi anakatwa kodi mshahara wake tena kwa lazima,bado atachangia kodi kama raia wengine.
Hukupewa cheti? au mnataka mtambulikaje tuwawekee tatuu "M" usoni? Fanya kazi kwa viwango utatambulika sio vielimu vya kucopy na kupaste. Kama mnamasters ndiposa mbuni miradi... hamkusoma ili kuiongezea mzigo serikali na vi- GPA vyenu duni! Kama una GPA kubwa kafundishe vyuo GPA ndogo kasafishe vyoo!! Mkitokaga kusoma masters mnakuwaga wabishiiii na mnaringa wakati mkoshalo 😳Sawaa....
Ila tuna haki ya kuomba masters zetu zitambulike.
Au TUNAKOSEA??
#YNWA
Asitusumbue sasa nayeye akae na masters yake!! Vi gpa vidoogo
Hukupewa cheti? au mnataka mtambulikaje tuwawekee tatuu "M" usoni? Fanya kazi kwa viwango utatambulika sio vielimu vya kucopy na kupaste. Kama mnamasters ndiposa mbuni miradi... hamkusoma ili kuiongezea mzigo serikali na vi- GPA vyenu duni! Kama una GPA kubwa kafundishe vyuo GPA ndogo kasafishe vyoo!! Mkitokaga kusoma masters mnakuwaga wabishiiii na mnaringa wakati mkoshalo 😳
Eti GPA ndogo 😄 we rizika na Elimu yako. Wenye kusoma someni Hakuna Elimu isyo na faida.Asitusumbue sasa nayeye akae na masters yake!! Vi gpa vidoogo
uU wehu umeutoa wapi? Alosema watumishi hawalipi kodi nani? Acha uzumaridi
Ni wewe ni mmoja ya wenye Masters useless nchini ?Huwezi kuona kwasababu huna uwezo wa kupima ufanisi wa mtu kwenye majukum yake
Tanzania kama tuna wasomi basi wapo wasomi wachache sana.kwa hiyo we unadhani watu wanaongeza elimu ili tu waongeze kipato makazini ..? Kama ni kweli basi nchi yetu ina safari ndefu ili kupiga hatua kimaendeleo...ikiwa wasomi wenyewe wakuwategemea ni wa mtindo wako.
Vyeti feki aliowafukuza maguSerikali hawapokei vyeti kizembe kiasi hicho.
-Mwenye Masters ya magonjwa ya watoto, huyo atatibu watoto Kwa ubora zaidi mwenye Masters ya education atafanya nini Cha ajabu tofauti na mwenye degree?, Elimu zinazokubalika Kwa sana ni CPA ukipata CPA unapandishwa,Kwani degree nyingi wanafanya nn...aisee nyny inaonyesha mtaanza uchawi huko makazini mbona mmeumia Sana kwa kipimo gani kinachoonyesha masters hawafanyi kazi
Duh!-Mwenye Masters ya magonjwa ya watoto, huyo atatibu watoto Kwa ubora zaidi mwenye Masters ya education atafanya nini Cha ajabu tofauti na mwenye degree?, Elimu zinazokubalika Kwa sana ni CPA ukipata CPA unapandishwa,
-Sehemu ambayo Masters inakubalika ni kama NIMR ambapo wenye Masters wanahesabika Kama Research Officers.