jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Unasoma ili uje kulilia mshahara...ujinga mtupu!! Unajua kufanya utafiti lakini umeshindwa kutafiti chakukuingizia pesa unang'ang'ana na kodi za hawa maskini wasio na maji,umeme,dawa nk.
Mlitakiwa muombe kupunguziwa mshahara ili msaidie huduma za jamii ninyi msake kimkakati!!
Hivi hizi akili za kijinga huwa mnatolea wapi?mtumishi anakatwa kodi mshahara wake tena kwa lazima,bado atachangia kodi kama raia wengine.