Upendo ni kitu kizuri sana.
Huwezi jua huyo rfk ako anapitia mangapi.
Gari yangu ya kwanza nilinunua 2012 nikiwa na 21 years nikiwa chuo, aisee nilipata wenge kama miezi 4 ila nikazoea, namshukuru Mungu kuanzia hapo naonaga gari kama kitu Cha kawaida sana, mleta mada utakua umenunua gari hivi karibu I😂😂😂
Nitumie number yako DM nkutumie ya vochaSawa ni binadamu, kama unaona anakukera mbona ni rahisi, kumuonesha msimamo wako, sasa utamlazimishaje kumtoa kwenye msimamo wake!?
Mimi naona unaogopa lawama kitu ambacho sioni kama utakiepuka kwa wanadamu.
Najua lakn pia sijanunua kwaajili ya kutoa lift
Unataka kutuambia akitumia usafiri wa umma anatoa 5,000 mpaka 7,000 kwenda kazi?
Ngoja tufanye mahesabu
Siku moja = 7,000 *2= 14,000
Siku za kazi kwa mwezi kiwastani ni 23 mpaka 24, ila tufanye siku 23
Gharama ya usafiri kwa mwezi ni
23*14,000 = Tsh 322,000
Kama usafiri wa public anatoa 322,000.
Je wewe unaye tumia private si unafikisha 800,000 mpaka 1,000,000 kwa usafiri tu.
Hongera inaonekana ni mlipaji kodi mzuri kupitia mafuta.
80% natumia PIKPK mkuu maximum ya 3500 x 30 =. 100500 , kwa hyo nakuw na oil nishamwagaUnataka kutuambia akitumia usafiri wa umma anatoa 5,000 mpaka 7,000 kwenda kazi?
Ngoja tufanye mahesabu
Siku moja = 7,000 *2= 14,000
Siku za kazi kwa mwezi kiwastani ni 23 mpaka 24, ila tufanye siku 23
Gharama ya usafiri kwa mwezi ni
23*14,000 = Tsh 322,000
Kama usafiri wa public anatoa 322,000.
Je wewe unaye tumia private si unafikisha 800,000 mpaka 1,000,000 kwa usafiri tu.
Hongera inaonekana ni mlipaji kodi mzuri kupitia mafuta.
Usikute eti na huyu ni , tumishi was serikali😂😂😂Huu uandishi unafanyia kazi wapi?
Sio achangia ufundi yaan atoe specific either 1 of petrol ambayo 3000/- kwa bike kwa gari atleast aweke 7,000Ukimsoma mtoa mada amesema huwa anatoa mara moja moja kwahiyo sio kupe kivile. Kwa mawazo yangu huenda hiyo pesa anayo toa ndio nauli akitumia usafiri wa public. Ila mtoa maada anadai huyo jamaa achangie mpaka gharama za matengenezo ya vyombo vyake moto vikiharibika.
Kwahiyo jamaa aliwalipisha 35,000 kwenye ki IST na Bado akawabeba kama ndizi😂Sawa kwakuatujadili bwana tajiri!!.
Ila unaonekana muda wako wa kumiliki kitu kinacho tumia mafuta ulikuwa bado sana umelazimisha ndio maana unawaza sana angalia usije pata pressure bure .
Yaani ununue gari utegemee mafuta akuchangie mwingine, kwahiyo asipo changia hautaenda kazini na gari lako? Au ndo wivu wa kiafrika tulio nao.
Mimi kama miezi minne iliyo pita nilihama kwenda kutafuta ridhiki mkoa x, kuna jamaa tunafanya shughuli pamoja, wakati nataka kurudi mkoa nilio na makazi kuangalia familia na yeye akasema anaenda huko huko anatafuta watu wa kumchangia mafuta.
Tukawa watu watatu tukasema sawa tutachangia mafuta, nauli ni 25,000 kwa bus ila tulipo fika kituo cha kuweka mafuta tukiwa tunampa 25,000 aligoma kuwa anataka 35,000, wote tukampa bila maneno kumbuka wote tunafanya shughuli sehemu moja.
Tulipofika njiani akaongeza abiria mwingine ambaye alitoa 20k tukabanana hivyo hivyo gari lenyewe ni Cc 1490.
Kwa mawazo yake alikuwa na akili kama yako kuwa hawa hawana magari.
Wiki mbili ziliyo pita mimi nilimpa lift siku ya ijumaa toka mkoa x na kurudi naye siku jumapili sehemu ya mihangaiko yetu ya kutafuta mkate, akabaki anajichekesha chekesha tu kuwa umeniokoa sana nilikuwa sina nauli mara sijui gari lake limefanyaje fanyaje, mimi nikiwa namchora tu, huku akiangali gari lina Cc zaidi ya 4000 ila ni diesel.
Unamwambia baba yako ni fala?Laana iwe juu yako!Na wewe nenda, humu ni kwa kila mtu fala wewe
Nichikungua ni utoto, mkadilio ni kama ana miaka 25 au 26, pia katika story inaonekana ndio aliye toboa kwenye familia yake.Kwahiyo jamaa aliwalipisha 35,000 kwenye ki IST na Bado akawabeba kama ndizi😂
Huyu jamaa nilichogundua ni limbukeni wa uasafiri.
Nachukia sana watu wanaoendekeza unyonyaji kwenye kificho cha kumsema mtu kua "ana roho mbaya" ama "mchoyo".
Kitendo cha huyo mwenzako kudai 10k aliochangia kwenye matangenezo ya 200k ilhali unambeba kila siku zaidi ya 35km+,sio cha kiungwana hafai kusaidika ni mnyonyaji.
Cha msingi mchane kiume mpe terms zako,akikataa temana nae,usafiri ni wako.
Mtoa mada nimekuelewa sana. Wengi wanaona ukimtendea mtu wema usisubiri shukrani hii ndo imefanya watu wengi wengi washindwe kutoa msaada kwa wengine wenye uhitaji.
Wanasema maisha ya kijamii yana pande mbili. Kutoa na kupokea..kinyume chake pia kupokea na kutoa. Unapotendewa wema siku zote kumbuka kurudisha fadhila . Na fadhila ni pale unapojiongeza kuonyesha umetambua thamani ya yule anayekupa kampani. Kama unampa kampani ya lifti kila siku ni kweli lazima ajiongeze wiki anatoa hata mafuta ya wiki ili kusave. Wengi wanaona mtoa mada anaroho mbaya kwa sababu tunaangalia upande mmoja anampa lift kwa upendo wake.
Ila kama hajiongezi wala usipate shida mwambie usafiri wangu sasa hivi una shida ila naukokota tu hatuwezi kupanda wawili hadi pale nitapoutengeneza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kinachokuliza humu kitu gani? Acha utoto!Najua lakn pia sijanunua kwaajili ya kutoa lift
Usikute ni mwalimu [emoji3]Usikute eti na huyu ni , tumishi was serikali[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ndio ukweli maana; Uzi wake unajieleza na majukumu anayojidai kuwa nayo pia yanathibitisha Hilo la yeye kutoboa.Nichikungua ni utoto, mkadilio ni kama ana miaka 25 au 26, pia katika story inaonekana ndio aliye toboa kwenye familia yake.
Wenge la gari ya kwanza ni balaa[emoji38][emoji38] nilikua nalala huku nacheka..nilinnua nikiwa na umri kama huo, napandisha vioo naongea peke angu tena kwa nguvu "Kwahiyo hii ndio gari yangu" [emoji38][emoji38][emoji38]