Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Huyu atakuwa bwana Shamba; kumbuka wamepewa pikipiki juzi juzi ( zile boxer zilizonunuliwa M 11 wakati ni 2.7M) mwalimu angekaa kazini kwake; na kama ni mwalimu basi hiyo shule aliopo wamepigwa kweli kweliUsikute ni mwalimu [emoji3]
Huyu atakuwa bwana Shamba; kumbuka wamepewa pikipiki juzi juzi ( zile boxer zilizonunuliwa M 11 wakati ni 2.7M) mwalimu angekaa kazini kwake; na kama ni mwalimu basi hiyo shule aliopo wamepigwa kweli kweli
Helement ni nini mkuu?Ndio watu kama nyie ninao wajadili hapo, ushawahi kukamatwa na traffic ukiwa uliyempa lift hajafunga mkanda au kuvaa helements or any accident
You buy free for cost
Hii ndo point.Naomba ni kuulize swali.
Hivi usipo mpakia mtu yoyote kwenye gari lako au pikipiki huwa unatumia mafuta kidogo? Au hivyo vyombo vyako huwa havialibiki? Hivi wakati unanunua hivyo vitu ulikuwa unajua kuna mtu wa kukusaidia kutengeneza?
Bado hujakuwa,. acha ulimbukeni kijana!Habari wadau, poleni kwa namna mambo yalivyo sasa maisha magumu na agenda za kipuuzi ambazo shetani anataka kuingiza katika maisha ya binadamu sisi.
Hapa naendelea wakati tunaishi na kujarbu kutatua changamoto zetu za maisha kama kujenga na kumiliki usafiri ambao utatoa point A kwenda point B sisi ambao tumeishi maisha ya mjini tulishazoea maisha haya kwamba jirani yenu ana miliki pikipiki au Gari asubuhi anawasha anasepa hakuna cha lift wala nini
Sasa upande huu wa mikoani shida ipo kwa watu ambao tunafanya nao kazi eneo moja. Nimekutana na mshikaji rika sawa na mimi na wote tukiwa wageni katika kituo tulichohamia sambamba tunaishi maeneo ya karibu kimakaiz ila ofisi zipo mbali. Mimi nina usafiri both Gari na pikipiki ila nikitaka kwenda job namchek twende au namkuta njiani namchukua huyo job (go and return ).
Tatizo moja lipo hapa jamaa huwa hajiongezi, siku alipe na siku isilipe na akilipa hatatoa 2000 kama ni pikipiki na kama gari 3,000/- hapo ni mwendo wa KM 32+ gari 1.8L na njia sio ya lami. Kilichonikera zaidi wiki 2 nyuma nimetoka kutengeneza pikipiki kwa almost tshs 200,000/- baada ya block na center cluch kufa lakini yeye alitoa 10,000/- na akaidai dah!
Mbaya zaid haitoi siku zote na akitoa anatoa kidogo sana na kikiharibika ni mimi.
Mimi kama binadamu nataka nimtue tuu kwa amani zote maana nishaona Watanzania hawezi hisani, mimi nimeweza kutumia vyombo vyangu vya usafiri zaid ya miaka 5 sasa bila ushirika wowote.
Mnaweza kuchangia mawazo au changamoto kama hizi.
Umenikumbusha, hii ni sawa na mwanamke ale pesa zakooooo ale weeeee halafu unadai malipo. Then unaamua kumwaga. Su kuachana naye.Kumsaidia tu jamaa lift umeanza masimamango angekuwa ni mwanamke unambeba ungekuwa unampa na hela kwa kumbeba
Umeongea kiutu uzima Mno..ukomavu unao Mkuu salute..Bado hujakuwa,. acha ulimbukeni kijana!
Wengine sisi tunaona fahari kuwapa wengine msaada, bila kutegemea malipo yoyote!
Binafsi sijawahi kuona nongwa kumpa mtu lifti, hata kama ni umbali wa km50 Kila siku, kikiharibika kitu sijawahi fikiria hata siku Moja ninaempa lifti anisaidie!
Pia niliokuwa nawapa lifti Kwa sasa tunapigiana honi, maisha yanaendelea!
Hao pia nao zipo siku ambazo wananipa lifti Kwa siyo Kila siku usafiri unaweza kutumika!
Umenikumbusha huju umughaka yupo na story yake imekwisha?ROHo 'mbaya tu pumbavu yan watanzania ndo maana umughaka alisema rangi nyeusi ni laana
Umenikumbusha huju umughaka yupo na story yake imekwisha?
Nyingne bado nyingne zimekwisha😃Umenikumbusha huju umughaka yupo na story yake imekwisha?
Bado hujakuwa,. acha ulimbukeni kijana!
Wengine sisi tunaona fahari kuwapa wengine msaada, bila kutegemea malipo yoyote!
Binafsi sijawahi kuona nongwa kumpa mtu lifti, hata kama ni umbali wa km50 Kila siku, kikiharibika kitu sijawahi fikiria hata siku Moja ninaempa lifti anisaidie!
Pia niliokuwa nawapa lifti Kwa sasa tunapigiana honi, maisha yanaendelea!
Hao pia nao zipo siku ambazo wananipa lifti Kwa siyo Kila siku usafiri unaweza kutumika!
Inaitwa Elements? 🙄🙄Mwambie ni Elements kofia ngumu
Tukumbuke cmu za sikuhz zinajiongeza