Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

pole sana mkuu my hubby and I tunapita kwenye situation kama yako inatakiwa tarehe 1feb tukamuone landlord ila Mungu ni mwaminifu atafanya njia pasipo na njia

Poleni sana mkuu , heri yako ww unamsaidia hata mr mawazo anaheri maana kuna ss tunapitia hali hizo unaefikiria uko naye akupe hata moyo ndio kwanza hakuelewi kwamba huna hela


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu, this shall pass too

Umepoteza mil 14, kuna watu wamepoteza mil 50, 100, 500

Umebaki na kagari kazuri tu (na afya, japo hujatuambia) , kuna watu hawana hata kiwanja cha laki 5 na hawana afya nzuri

Kubali hali yako mpya uliyonayo, hii ni hatua ya kwanza muhimu...... Kisha Anza tena, kuanza upya si ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Kwa miezi ya mwishoni mwa mwaka jana nilipoteza shambani zaidi ya sh 14,521,000 kwenye nyanya'

Mtoa mada utanisamehe,kilimo kibongo bongo ni kujitafutia umasikini tu.

Samahani lakini mkuu.

dodge
Mkuu sometimes unakuwa na IQ kubwa ila unashindwa kung'amua mambo madogo sana pitia hapo juu ulivyonipinga then hapa umekuja kisapoti moja ya point yangu bila kufahamu...muda mwengine ninaandika vitu sensitive kama nilichomwambia mtoa mada ila kwasababu alishaweka akiri yake kuwa positive kupokea aina ya maoni 'pole' 'yatapita' hatoelewa nilochoandika.

Man Of October
 
mkuu October man ya Mungu mengi usitukane wakunga na uzazi ..........?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilochoandika sijamkufuru mungu tatizo mkuu wangu nakeambiaga sana unapenda kuwa upande wa wengi hata kama hawapo sawa jamaa ameandika uzi nakijiandaa kidaikolojia kupokea 'pole' 'yatapit'....nilochoandika ni makosa aliyofanya na anaendelea kuyafanya mpaka alipotoa hii mada nisiandike sana.

Man Of October
 
Inabidi tuulize mkuu,labda yeye anaweza kutupa experience yake namna hivyo vitu alivyosema vilivyomsaidia kumfikisha hapo alipo.

dodge
Mkuu sijafanikiwa kugusa chanell za pesa bado ila najua misingi ya pesa hata iyo ndogo niliyowai kuigusa niliiwekea misingi ambayo inanifaidisha hadi Leo.

Man Of October
 
inshort jamaa alijilipua kwenye kilimo cha motivation speaker akaweka mayai yote kwenye chungu kimoja then akadondokea pua ila isiwe sababu yakummanga

chamsingi anacho cha kuanzia anaweza uza pagale au gari akaanza upya

kupoteza 14m sio mchezo ndo maana hadi kesho nakataa kuwapa nafasi hawa motivation speaker

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hio unaongelea theory zaidi sio boss?
Mkuu sijafanikiwa kugusa chanell za pesa bado ila najua misingi ya pesa hata iyo ndogo niliyowai kuigusa niliiwekea misingi ambayo inanifaidisha hadi Leo.

Man Of October

dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…