Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh

Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.

Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania

Karibuni mtoe maoni
 
It's always boggle my mind, that Africans, are very sympacetic to Arabs/white Christian, than are to their own people in Africa, Muslim in Tanzania, cry when palestinians are butchered in Israel, why! Cause they consider them their fellow Muslims! Why not cry when when 200+black Muslims are killed in Sudan, by the mixed race Arabs!?
For Christians also, when a rogue pastor in Kenya, killed 150+members of his church, by instiling in them false beliefs, no Christians raised a voice, cause are it's ok! We are killing our own, but when the two boys from Tz are killed in Palestine by Arabs, all bloody fucking Christians go ape shit! Giving out ballage of sermons! So pathetic
 
Sionagi faida ya kulaani kisiasa, peleka majeshi au nenda mwenyewe uwe mstari wa mbele.

Hizi kauli za kulaani vikali ilhali unajua fika kinachohitajika ni mapigano ni unafki huo.

Mimi nasema kama wameamua kuchapana acha wachapane mpaka apatikane mshindi.
 
mpaka apatikane mshindi..
 
Hakika tuwe pia na maandamano leo ijumaa baada swala ya ijumaa
Haiwezekani ndugu zetu katika imaan wauwawe na sisi tunaangalia tu
 
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh

Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Karibuni mtoe maoni
Oktoba 7 mlikuwa wapi
 
Siamini katika taasisi wala jumuia za Kiislam.

Uislam aliotufundisha Mtume, dua njema na amani ziwe juu yake, Muhammad haujawacha taasisi wala jumuia. Ametuwachia Uislam tu.

Kama ni taasisi au jumuia zilishaanzishwa zamani sana, nazo ni Uislam na katiba yetu ni Qur'an.

Matamko yw kumbgoja fulani ayatamke sijui nini, hayana faida yoyote.

Tuzuwie maovu kwa Mikono (vitendo), kama hatuwezi tuzuwie kwa mdomo, kila mmoja wetu aseme na kulipinga lililo-ovu na si kungoja fulani atusemee. Kama huwezi hili basi lichukie hilo ovu moyoni mwako, kwa kuzidisha dua, salat na subra ili uyaweze hayo mengine au wanaoyaweza Allah aendelee kuwawezesha zaidi na Zaidi.
 
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh

Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Karibuni mtoe maoni
Mmeanza,

Oktoba 7 ulishaingilia

Tulia dozi ikuingie vizuri shenzi type
 
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh

Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Karibuni mtoe maoni
Hizo jumuia ambazo hata kukemea yanayoendelea hapa nyumbani ni kwa shida?
 
Uislam aliotufubdisha Mtume, dua njema na amani

1729239731761.png
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh

Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.

Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania

Karibuni mtoe maoni
Hiyo taasisi ya kiislamu ililaani alipouawa Joshua na molleli watanzania wenzetu wasio na hatia mimi naona israel iendelee kuwafuta hamas wote mpaka na vizazi vyao vyote
 
Siamini katika taasisi wala jumuia za Kiislam.

Uislam aliotufundisha Mtume, dua njema na amani ziwe juu yake, Muhammad haujawacha taasisi wala jumuia. Ametuwachia Uislam tu.

Kama ni taasisi au jumuia zilishaasisiwa zamani sana, nazo ni Uislam na katiba yetu ni Qur'an.

Matamko yw kumbgoja fulani ayatamke sijui nini, hayana faida yoyote.

Tuzuwie maovu kwa Mikono (vitendo), kama hatuwezi tuzuwie kwa mdomo, kila mmoja wetu aseme na kulipinga lililo-ovu na si kungoja fulani atusemee. Kama huwezi hili basi lichukie hilo ovu moyoni mwako, kwa kuzidisha dua, salat na subra ili uyaweze hayo mengine au wanaoyaweza Allah aendelee kuwawezesha zaidi na Zaidi.
October 7 hao hamas walivyobaka, walivyolawiti, walivyoua wayahudi na kuwachoma moto watoto wadogo wengine wakawateka huyu mtume hakufuwafundisha muache uchokozi kwa makafiri matokeo yake makafiri wanakuja kuua wapalestina wengi kama kuku sasa hii jihadi gani?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh

Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.

Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania

Karibuni mtoe maoni

Ungeongezea na mauaji ya sudan maana kule ndugu zenu pia katika iman wanauana wao kwa wao au wao hawamo kwenye dua zenu
 
Sijui km umeeleweka, kujua hyo lugha ni utumwa na kuitumia siyo fahari, ni aibu na upumbavu
Wewe mbona mnasalimiana kiarabu na hata majina mnayo ya kiarabu. Je, huo siyo utumwa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh

Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na manyanyaso makubwa Kwa miaka mingi lakini hawajakata tamaa huku bado wanaendelea kupigania haki zao.

Ni muda muafaka kusikia kauli kutoka kwa jumuiya husika hapa tanzania

Karibuni mtoe maoni
Ndugu zenu eti mtu wa kibaha? Have you eaten today?
 
Back
Top Bottom